Kifo cha Magufuli, ilikuwa ni kifo cha CCM pia? Sasa wanakataliwa kila kona ya nchi!

Kifo cha Magufuli, ilikuwa ni kifo cha CCM pia? Sasa wanakataliwa kila kona ya nchi!

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Wana CCM, ukweli ni huu

Magufuli alichokuwa akikifanya pale Ikulu, ni kutuonyesha Watanzania kwamba, CCM ndiyo chanzo cha matatizo yoote tuliyonayo Watanzania, ni nyinyi, alipoingia yeye, aliweza kufanya miradi miingi na kwa mpigo, Miaka yote mlikuwa wapi? Na sasa mnafanya nini?

Katoka tu, kila kitu kimelala?

Baada tu ya JPM kuondoka, CCM wamepofuchwa macho, hawataki tena kutuonyesha kile wanafanya, badala yake wanaamuru watu wanyamaze na wakiongea, stahili yao ni ghadhabu yao

Ni kwamba, Kifo cha JPM, ndio kifo chenu CCM

Mtarusha rusha miguu na mikono kuonyesha mna weza, lakini wapi

Presha ya No reforms no election

Ndani yake kuna sauti ya Mungu, ambayo haitapita hivi hivi

Na humo ndani yake, kuna uweza wa Mungu na wa ajabu wenye kudhofisha na kukosesha amani watawala

Mnapoendelea kushupaza shingo, Matokeo yake ni viongozi kuwa na maamzi mabaya zaidi ya kukoleza mapigo ya Mungu juu yenu
 
20250610_170200.jpg
 
Wana CCM, ukweli ni huu

Magufuli alichokuwa akikifanya pale Ikulu, ni kutuonyesha Watanzania kwamba, CCM ndiyo chanzo cha matatizo yoote matatizo yoote tuliyonayo Watanzania tatizo ni nyinyi, alipoingia yeye, aliweza kufanya miradi miingi na kwa mpigo? Miaka yote mlikuwa wapi? Na sasa mnafanya nini?

Katoka tu, kila kitu kimelala?

Baada tu ya JPM kuondoka, CCM wamepofuchwa macho, hawataki tena kutuonyesha kile wanafanya, badala yake wanaamuru watu wanyamaze na wakiongea, stahili yao ni ghadhabu yao

Ni kwamba, Kifo cha JPM, ndio kifo chenu CCM

Mtarusha rusha miguu na mikono kuonyesha mna weza, lakini wapi

Presha ya No reforms no election

Ndani yake kuna sauti ya Mungu, ambayo haitapita hivi hivi

Na humo ndani yake, kuna uweza wa Mungu na wa ajabu wenye kudhofisha na kukosesha amani watawala

Mnapoendelea kushupaza shingo, Matokeo yake ni viongozi kuwa na maamzi mabaya zaidi ya kukoleza mapigo ya Mungu juu yenu
Jpm ndo alikiua chama cha ccm ndo mana akabaki anatumia mabavu tu ili kikubalike. Jpm angeruhusu mikutano ya siasa kama ilivyo sasa ccm ingeisha kabisa. Aliigopa chadema kama ukoma akabaki anapiga siasa peke yake za uongo
 
Back
Top Bottom