Hayo ni maoni yako, yataheshimiwa. Nikuondoe wasiwasi, hakuna kitu kama mgawanyiko Tanzania. Hakuna!
Hayo ni Makundi ya hapa Jamvini tu. Sio Nchini.
Msitugawe!
Hayo maoni yako tu. Ambayo yana ukweli fulani ndani yake. Walakin sidhani kama unauelewa na watu wa Tanzania, ambako Siasa ni 100% of the time...nenda Kenya uulize, nenda Uganda uulize, nenda Rwanda uulize, nenda Zimbabwe uulize, nenda South Afrika uulize Ethiopia, Ghana Congo....the list goes on bwana na jibu watalokupatia ni kuwa
Tunalumbana kisiasa bila vurugu za aina yeyote kwa sababu Fikra zetu zimejizatiti katika Utu, Umoja na Amani...Misingi yetu ipo imara na ngao yetu ni Imara,
Hao jamaa huwa wanabaki na mshangao kila wakisikia dhoruba tunazopata na kuzipita!
RNA wewe unatishia Watanzania kwa kutaka kuaminisha tunapoteza umoja kwa sababu zisizo na miguu wala kichwa!
Usibabaishwe na Siasa za hapa mtandaoni.
Ukweli mtupu hapo. Vyama vingine havina sera zinazoeleweka au wanashindwa kuziuza! Uko sahihi
Hao wachache wameshadhibitiwa, hawana lao Tanzania.
Fikra ipo moja tu. Umoja na Amani, na ni ndio ngao yetu kubwa!
Hilo kundi la tatu, ni la woga tu. Usitetereke
Lakini...
Ujikomboe na ...
Mabeberu na Vibaraka wake
Beberu ni Beberu na atapigwa vita milele Tanzania na Afrika yote.
Alichokifanya Magufuli kitaendelea kudumishwa. Wapende Wasipende
Magulification must go on.
Hayo ni yangu!