Kifo cha Magufuli kilileta udumavu mkubwa wa kifikra ambao ni hatari kwa Taifa. Watanzania tubadilike

Kwa taarifa yako,msingi mkuu inayotembelea serikali ya ssh umewekwa na jpm,kila kitu unachokiona kinafanyika kwenye awamu ya sita,msingi kaweka jpm, ukiona mama kabeba kikapu kimejaa ngano,ujue aliyelima shamba ni jpm,
labda msingi wa kiuno
 
Tatizo la hii nchi ni Elimu tu.
 
Ni ubunifu unaweza kujenga nyumba nzuri tena bila kuathiri lishe ya familia.unasema mira mikubwa pesa hakuna lakini ukikaa hivi unasikia bilioni 40 zimepigwa pale mara mkandarasi amelipwa hela bila kufanya kazi halafu unakuja hapa kusema hamna hela
Na sisi tunabaki kuwa mashabiki wa wapigaji
 
Nipo kundi namba tatu hapo. Mfano leo sijalala nawaza mke wangu mjazito anatakiwa kwenda kliniki na sina mchongo wa kupata hata sh 5 mbovu.
Sasa nini kinakupotezeaga muda kiasi cha kushindwa kujua kesho yako kunakuchaje wakati upo bize na mitikasi yako kiasi cha kutojihangaisha na siasa?
 
Watanzania wanataka kiongozi anae tambua hali zao nakuwapunguzia mzigo wa maisha mabegani mwao....hawataki mbambamba....

Basic needs za human being ni malazi,chakula na mavazi

Awamu ya tano waliwatambua wanyonge nakuwapa fursa za kibiashara nakuweza kukizi mahitaji yao ya muhimu kirahisi...

Umeme ulikuwa haukatiki hovyo..

Miradi ya maji,barabara etc

Sasa hv imekuwa kinyume wanyonge hawafanyi biashara kwa amani wengine kufukuzwa..umeme unakatika hovyo halafu unataka watu wasifie ili iweje si utaonekana chizi
 
Mada hii ni moja ya muendelezo wa kudumaza Mwafrika kifikra. Ni mada hasi na iliyojengwa kuweka kitisho na kutoa tahadhari kuwa, ukikemea maovu ya mzungu, utaangamia.
Katika maisha yangi sijawahi kuona kitu kama hichi. Ni hatari sana.
Mada hii
imeanzishwa na vibaraka wa mabeberu toka karne ya 18
Mwaka huo Wazungu wa Ulaya na wale waliodhalimu na kuteka Amerika ya kaskazini kwa mabavu....
na...Wana Ulaya wenzao, katika kile kilichoitwa nguvu ya kiroho ya kugawanya na kutawala , walipendekeza mkutano waliouita wa kidunia.
Pendekezo hilo la mkutano kati yao ulikuja kufanyika Uingereza mwaka 1910 mjini Edinburgh..
Ni moja ya mikutano lukuki ambayo ililenga kuendeleza ubeberu na kuhakikisha ukoloni mamboleo katika Jamii, Siasa, na Uchumi wa binadamu yeyote asiye na uasili wa Ulaya, hususani fikra na mawazo yao.

...mikutano mingine ilifanyika EXETER Hall

Popote ulipo, jitosheleze na Taarifa za Ulimwengu huu ili usije potoshwa, dumazwa na kutishwa na mlolongo mrefu wa propaganda za kidhalimu kama inavyosomeka katika mada hii.
Kuna ya kujifunza kuhusu hawa watu wa Afrika....
Eyo Honesty the second, King of Creek town.
Samuel Adjai Crowther. Bishop of Nigeria.
Thomas Sankara.
What do they have in common?
 
Huu upuuzi unaoendelea hapa nchini ni matokeo ya siasa za kishenzi za dhalimu wa awamu ya tano. Machafuko au mapinduzi ndio yatarejesha nchi hii katika mstari sahihi.
Muda mrefu nimekuwa nikipotoka kwa kudhania wewe ni mwanaume.
 
You are very wrong my friend RNA.

Inavyoelekea wewe hata hujui mfumo wa maisha ya hapa duniani..

Aina ya maisha unayoyataka watu waishi hayapo hapa. Ni ya kufikirika na yako huko mbinguni kusikokuwapo na kula wala kunywa..

Maisha na fikra za watu hapa duniani haziwezi kuwa ktk mfumo wa uniform kama za watoto wa shule au wafanyakazi wa hotel au wale wa bar ya Mzee Mangi pale Sinza madukani..

Nani atam - prove mwingine wrong iwapo wote tutakuwa tuna fikra zinazofanana..???

Burudani na utamu wa maisha unapaswa kujengwa ktk msingi wa mgongano wa kifikra na mitizamo juu ya kila jambo..

Ukijaribu kupingana na mfumo huu wa kiasili wa maisha utaishia kufa kifo cha ajabu a.k.a "kifo kibudu" kama cha yule ndugu yenu aliyekufa mdomo wazi yaani John P. Magufuli tu..!!

Let's life go that way because life is a personalized struggle. MAISHA NI AKILI BILA KUSAHAU TERMS & CONDITIONS za kuzingatia..
 
Kifo chake lilikuwa jambo jema sana kwa Taifa letu kwani vinginevyo tuendako tungekuwa kama Sudan ya leo hii,imagine jitu fascist kama lile kuondoka madarakani bila hata tone la damu kumwagika,hakika Mungu alitupa upendeleo wa kipekee.
 
Ukiona mtu anasemwa vibaya akishaaga dunia elewa kuwa alikuwa ni mbaya kweli.


Hivi Makonda yuko wapi?
Yupo Kigamboni anakusalimia sana,na kasema bado anakupenda sana!!
 
Nipo kundi namba tatu hapo. Mfano leo sijalala nawaza mke wangu mjazito anatakiwa kwenda kliniki na sina mchongo wa kupata hata sh 5 mbovu.
Na ujiandae.... Nunua vifaa vya Mkeo kujifungua mapema.... Hakuna dezodezo😇😁🙊
 
Tukitumia nguvu kubwa sana kumprove wrong Hayati yanaweza fanyika maamuzi mengi ambayo sahihi sababu tu kufurahisha sehemu ya wananchi.
Hata yeye na genge lake walitumia nguvu sana kuwaona watangulizi wao kuwa si kitu, Wenye mawazo tofauti tukaonekana Na kuitwa Vibaraka wa Wazungu, leo Iko wapi?!

As a nation, lazima tujifunze kutenganisha siasa na MTU, tumeingia kwenye shida kubwa kama Taifa kwakua tunaongozwa na utashi WA MTU
 
Hatuwezi kudumisha hofu na mauwaji ndani ya taifa hili ,never ever.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…