Kifo cha Magufuli, Tanzania ilipata hasara ya karne moja, maumivu yake yatawafikia hata walioshangilia

Mnaacha kuangalia mbele kutwa kuongelea magufuri itasaidia nini?...alikufa baba wa taifa sembuse huyo muuaji
 
Kila zama na mtume wake.tulikubali hilo.
 
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Mnaacha kuangalia mbele kutwa kuongelea magufuri itasaidia nini?...alikufa baba wa taifa sembuse huyo muuaji

Simba leo wamepanda SGR kwenda Moro
 
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"

Hakika kabisa
 
Tatizo ni mfumo huwezi kuwa na nchi nzima ina mifumo mibaya na kutegemea mtu mmoja kuendeleza nchi. Kama una akili pigania mfumo kuimarika
 
Tatizo ni mfumo huwezi kuwa na nchi nzima ina mifumo mibaya na kutegemea mtu mmoja kuendeleza nchi. Kama una akili pigania mfumo kuimarika

Nani wa kurekebisha mfumo?
 
Nani wa kurekebisha mfumo?
Mfumo haurekebishwi na mtu bali na watu. Wewe, mimi na watanzania wengine tunatakiwa kupigania katiba mpya na bora na sio kulalama na kusubiria mtu mmoja kubadilisha nchi haitatokea. Lakini watu wanamapungufu mengi sana. Pamoja na mazuri ya Magufuli kwa sisi ambao tunamfahamu alikuwa na mapungufu yake mengi tu. Hivyo mfumo kuwa mzuri na hautabadilishwa na mtu mmoja bali shinikizo la watanzania. ndiyo maana tukisema katiba mpya mnatakiwa kuelewa kwa undani ina maana gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…