mkuu foleni ya kutoka mbezi kwa yusufu ( kilipo kituo cha polisi) hadi kibaha( tumbi hospitali) imeanza lini? hakuna kitu kama hicho. kwanza ni mbali sana lakini pia hakuna foleni kabisa.Kwa ninavoijua foleni ya dar to kibaha nadhani bajaj ilifaa maana inaweza kupenya!! Anyway PF3 inatatizo Kubwa ni kitanzi cha wengi sijui hio formwalioitunga hio Sheria Kama sio utaratibu walikua na fikira gani!! Rest in Peace mama Prof Jay!
pole sana kamanda Joseph
Pole Joseph Haule!