Kifo cha mama mzazi wa proffesor J

Kifo cha mama mzazi wa proffesor J

Kwa ninavoijua foleni ya dar to kibaha nadhani bajaj ilifaa maana inaweza kupenya!! Anyway PF3 inatatizo Kubwa ni kitanzi cha wengi sijui hio formwalioitunga hio Sheria Kama sio utaratibu walikua na fikira gani!! Rest in Peace mama Prof Jay!
mkuu foleni ya kutoka mbezi kwa yusufu ( kilipo kituo cha polisi) hadi kibaha( tumbi hospitali) imeanza lini? hakuna kitu kama hicho. kwanza ni mbali sana lakini pia hakuna foleni kabisa.
 
R.I.P Mama Prof J..! Pole sana Prof J kwa kuondokewa na Mama.!
 
Nilimwona kenye interview ya Prof na Sauda Mwilima wa STARTV da, Pole sana wa Mitulinga!
 
pole sana ndugu yetu Profesa J na ndugu wengine wote.
 
poleni wafiwa wote kwa msiba mlioupata.MUNGU amlaze mahali pema peponi AMINA.
 
R.I.P Mama Joseph, Safari yetu ni moja japokuwa tunapita njia tofauti!
 
ooh dear mummy
pole saana prof dah cant blv mumy has gone jamani so sad
 
Pole sana Profesa Jay na wanafamilia wote. May she rest in peace
 
Kwa mlio Dar nendeni msibani pale Mbezi Mwisho mita 200 mbele ya kituo cha daladala cha mwisho. Msiishie pole tu.
 
Back
Top Bottom