Jiandae kisaikolojia mourinho his going to show you something you can't believe. Nitakutafuta baada ya mechi tuombe uhai na amani ili tushuhudie maajabu haya pamoja.Kesho ndo siku ambayo mourinho na vijana wake watakapo kufa mbele ya vijana wa Zidane...
Sioni ni njia IPI Man U watapita kuweza twaa ubingwa wa UEFA Super Cup 2017.Balaa litawakuta kuleee ulaya mashariki katika nchi ya Macedonia...
Asensio, Kroos, Modric, Casemiro na wengine wengi hakika watatamalaki katika dimba la Philip ii Arena katika mji wa Skopje...
Hakika kesho mtoto hatumwi sokoni tukutane saa 9:45pm majira ya Afrika Mashariki katika mabanda umiza au katika sofa zetu majumbani..

Raha ya mpira uangalie kwenye kibanda umiza bhanaaaaKesho ndo siku ambayo mourinho na vijana wake watakapo kufa mbele ya vijana wa Zidane...
Sioni ni njia IPI Man U watapita kuweza twaa ubingwa wa UEFA Super Cup 2017.Balaa litawakuta kuleee ulaya mashariki katika nchi ya Macedonia...
Asensio, Kroos, Modric, Casemiro na wengine wengi hakika watatamalaki katika dimba la Philip ii Arena katika mji wa Skopje...
Hakika kesho mtoto hatumwi sokoni tukutane saa 9:45pm majira ya Afrika Mashariki katika mabanda umiza au katika sofa zetu majumbani..
Wakati nyie mnatest mitambo Kipara Zizou atakuwa amewasha kabisha mitambo yake...wait n seeJiandae kisaikolojia mourinho his going to show you something you can't believe. Nitakutafuta baada ya mechi tuombe uhai na amani ili tushuhudie maajabu haya pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo kuna watu huwa wanakera waeza rusha ngumi kama una roho nyepesi...hahaha
Nawasubiri sana huko UCL na tiketi yenu ya viti maalumu...Nikisikia mtu anaisakama Man Utd, huwa sijiulizi yeye ni wa upande gani! Kama si MSHIKA MANATI basi Barca(Mshika manati indirect)
Mi nikiwa kama shabiki tu wa UTD, nimeshashangilia vyooote kwenye soka level ya CLUB, hatuwezi kuwa wababe milele, ila tutarejea kwenye enzi.........UEFA bila UTD, UK inakosa mshindani.
Bakisha maneno ili upate cha kusema baadae ikiwa tofautiKesho ndo siku ambayo mourinho na vijana wake watakapo kufa mbele ya vijana wa Zidane...
Sioni ni njia IPI Man U watapita kuweza twaa ubingwa wa UEFA Super Cup 2017.Balaa litawakuta kuleee ulaya mashariki katika nchi ya Macedonia...
Asensio, Kroos, Modric, Casemiro na wengine wengi hakika watatamalaki katika dimba la Philip ii Arena katika mji wa Skopje...
Hakika kesho mtoto hatumwi sokoni tukutane saa 9:45pm majira ya Afrika Mashariki katika mabanda umiza au katika sofa zetu majumbani..
Mshika manati.........kuna tofauti kati ya kushindana na kushiriki, bahati mbaya mmekosa nafasi ya kushiriki msimu ujaoNawasubiri sana huko UCL na tiketi yenu ya viti maalumu...
Hmm.. Mkuu ungetumia kiswahili tuu..Jiandae kisaikolojia mourinho his going to show you something you can't believe. Nitakutafuta baada ya mechi tuombe uhai na amani ili tushuhudie maajabu haya pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha kupitia viti maalumu...bhasi sawa endeleeni ngurumaKunashabaki uchwara wa man united kesho watakosa pakushika.
Maana wao real Madrid wapo na man united wapo.!
Mimi hata nipewe gari,nipewe jumba niongezewe na ndege plus Priyanka Chopra sitoweza kuisaliti wala kuiacha man united.
Man United tumerudi bargain Uropa Simba dime mwenye meno makali tunaunguruma, kila aliye Mbeki yetu ngozi yake halali yetu...! GGMU
Mwache mkuu ajimwaye mwaye kwa lugha ya malikia..Hmm.. Mkuu ungetumia kiswahili tuu..
Man UTD ni viti maalumu Uefa! π π π π π π π π π π π π π π π π π πNawasubiri sana huko UCL na tiketi yenu ya viti maalumu...
Kutumia kiswahili ama kiingereza ni chaguo langu mimi. Kitu cha msingi ni ujumbe kufika na kueleweka nilitegemea uniambie ni wapi haujaelewa na sio lugha gani nitumie. Hauna uwezo wala mamlaka ya kunichagulia wala kunifundisha mpaka nitakapo ridhia mwenyewe kufanya hivyo bila ridhaa yangu ni kunivunjia heshima.Hmm.. Mkuu ungetumia kiswahili tuu..