Kifo cha Man United...

Kifo cha Man United...

Travoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
397
Reaction score
481
Kesho ndo siku ambayo mourinho na vijana wake watakapo kufa mbele ya vijana wa Zidane...

Sioni ni njia IPI Man U watapita kuweza twaa ubingwa wa UEFA Super Cup 2017.Balaa litawakuta kuleee ulaya mashariki katika nchi ya Macedonia...

Asensio, Kroos, Modric, Casemiro na wengine wengi hakika watatamalaki katika dimba la Philip ii Arena katika mji wa Skopje...

Hakika kesho mtoto hatumwi sokoni tukutane saa 9:45pm majira ya Afrika Mashariki katika mabanda umiza au katika sofa zetu majumbani..
 
Jiandae kisaikolojia mourinho his going to show you something you can't believe. Nitakutafuta baada ya mechi tuombe uhai na amani ili tushuhudie maajabu haya pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raha ya mpira uangalie kwenye kibanda umiza bhanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisikia mtu anaisakama Man Utd, huwa sijiulizi yeye ni wa upande gani! Kama si MSHIKA MANATI basi Barca(Mshika manati indirect)

Mi nikiwa kama shabiki tu wa UTD, nimeshashangilia vyooote kwenye soka level ya CLUB, hatuwezi kuwa wababe milele, ila tutarejea kwenye enzi.........UEFA bila UTD, UK inakosa mshindani.
 
Nawasubiri sana huko UCL na tiketi yenu ya viti maalumu...
 
Kesho ndo siku ambayo mourinho na vijana wake watakapo kufa mbele ya vijana wa Zidane...

Sioni ni njia IPI Man U watapita kuweza twaa ubingwa wa UEFA Super Cup 2017.Balaa litawakuta kuleee ulaya mashariki katika nchi ya Macedonia...

Asensio, Kroos, Modric, Casemiro na wengine wengi hakika watatamalaki katika dimba la Philip ii Arena katika mji wa Skopje...

Hakika kesho mtoto hatumwi sokoni tukutane saa 9:45pm majira ya Afrika Mashariki katika mabanda umiza au katika sofa zetu majumbani..
Bakisha maneno ili upate cha kusema baadae ikiwa tofauti

Today
 
Kunashabaki uchwara wa man united kesho watakosa pakushika.

Maana wao real Madrid wapo na man united wapo.!

Mimi hata nipewe gari,nipewe jumba niongezewe na ndege plus Priyanka Chopra sitoweza kuisaliti wala kuiacha man united.

Man United tumerudi barani Uropa Simba dime mwenye meno makali tunaunguruma, kila aliye Mbele yetu ngozi yake halali yetu...! GGMU
 
Nawasubiri sana huko UCL na tiketi yenu ya viti maalumu...
Mshika manati.........kuna tofauti kati ya kushindana na kushiriki, bahati mbaya mmekosa nafasi ya kushiriki msimu ujao
 
Kunashabaki uchwara wa man united kesho watakosa pakushika.

Maana wao real Madrid wapo na man united wapo.!

Mimi hata nipewe gari,nipewe jumba niongezewe na ndege plus Priyanka Chopra sitoweza kuisaliti wala kuiacha man united.

Man United tumerudi bargain Uropa Simba dime mwenye meno makali tunaunguruma, kila aliye Mbeki yetu ngozi yake halali yetu...! GGMU
Hahahaha kupitia viti maalumu...bhasi sawa endeleeni nguruma
 
Tutaona mambo yatakuwaje kesho. Manchester United wanaweza kushinda hii mechi. Ngoja tuone Lukaku kama anaweza kufanya kitu chochote.
 
Nawasubiri sana huko UCL na tiketi yenu ya viti maalumu...
Man UTD ni viti maalumu Uefa! 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Kuna mdau yeye shabiki maandazi wa Barca/Messi, na haipendi hii timu uliyoingia Uefa kupitia viti maalumu Sasa sijui kesho anasimama wapi??
PNC 1 njoo utuambie kesho unasimamia wapi??

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Hmm.. Mkuu ungetumia kiswahili tuu..
Kutumia kiswahili ama kiingereza ni chaguo langu mimi. Kitu cha msingi ni ujumbe kufika na kueleweka nilitegemea uniambie ni wapi haujaelewa na sio lugha gani nitumie. Hauna uwezo wala mamlaka ya kunichagulia wala kunifundisha mpaka nitakapo ridhia mwenyewe kufanya hivyo bila ridhaa yangu ni kunivunjia heshima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom