Kifo cha Man United...

Eti priyanka. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila leo ndugu zangu man kwa WASAFI sijui kama watatoka, ile pre-season ilikuwa maigizo.
 
Niwie radhi kukuvunjia heshima. Ila nadhani ujumbe umefika kama wewe ulivyodhamiria hapo ulipopiga broken
 
Niwie radhi kukuvunjia heshima. Ila nadhani ujumbe umefika kama wewe ulivyodhamiria hapo ulipopiga broken
Ujumbe gani umefika ikiwa sioni tatizo kwa nilichokiandika. Endelea kujitafakari vizuri. Jifunze kuheshimu maamuzi ya watu. Kujua au kutokujua kwa mtu hakumpi haki wala kumnyima haki ya kufanya anachopenda. Unapoingia majukwaani hebu jaribu ku focus ujumbe itakusaidia sana. Lakini pili sio ambacho haujakielewa maana yake kimekosewa. La tatu na mwisho usipende kuiga na kutaka kujibu kila ujumbe uliopo jukwaani hii itakupunguzia uwezekano wa wewe kuandika ujinga.
Nakutakia asubuhi njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uefa super cup ulishangilia lini? Sisi YWNWA ndoo zetu.Kwa sasa Madrid ni habari nyingine.

Huyu Pogba wa tz ambaye nchibimemshinda ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Pogba wa tz ambayw nchi imemshinda ndoo nani????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usinipangieeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…