Kifo cha Man United...

Kifo cha Man United...

Kunashabaki uchwara wa man united kesho watakosa pakushika.

Maana wao real Madrid wapo na man united wapo.!

Mimi hata nipewe gari,nipewe jumba niongezewe na ndege plus Priyanka Chopra sitoweza kuisaliti wala kuiacha man united.


Man United tumerudi bargain Uropa Simba dime mwenye meno makali tunaunguruma, kila aliye Mbeki yetu ngozi yake halali yetu...! GGMU
Eti priyanka. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila leo ndugu zangu man kwa WASAFI sijui kama watatoka, ile pre-season ilikuwa maigizo.
 
Kutumia kiswahili ama kiingereza ni chaguo langu mimi. Kitu cha msingi ni ujumbe kufika na kueleweka nilitegemea uniambie ni wapi haujaelewa na sio lugha gani nitumie. Hauna uwezo wala mamlaka ya kunichagulia wala kunifundisha mpaka nitakapo ridhia mwenyewe kufanya hivyo bila ridhaa yangu ni kunivunjia heshima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niwie radhi kukuvunjia heshima. Ila nadhani ujumbe umefika kama wewe ulivyodhamiria hapo ulipopiga broken
 
Niwie radhi kukuvunjia heshima. Ila nadhani ujumbe umefika kama wewe ulivyodhamiria hapo ulipopiga broken
Ujumbe gani umefika ikiwa sioni tatizo kwa nilichokiandika. Endelea kujitafakari vizuri. Jifunze kuheshimu maamuzi ya watu. Kujua au kutokujua kwa mtu hakumpi haki wala kumnyima haki ya kufanya anachopenda. Unapoingia majukwaani hebu jaribu ku focus ujumbe itakusaidia sana. Lakini pili sio ambacho haujakielewa maana yake kimekosewa. La tatu na mwisho usipende kuiga na kutaka kujibu kila ujumbe uliopo jukwaani hii itakupunguzia uwezekano wa wewe kuandika ujinga.
Nakutakia asubuhi njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisikia mtu anaisakama Man Utd, huwa sijiulizi yeye ni wa upande gani! Kama si MSHIKA MANATI basi Barca(Mshika manati indirect)

Mi nikiwa kama shabiki tu wa UTD, nimeshashangilia vyooote kwenye soka level ya CLUB, hatuwezi kuwa wababe milele, ila tutarejea kwenye enzi.........UEFA bila UTD, UK inakosa mshindani.
Uefa super cup ulishangilia lini? Sisi YWNWA ndoo zetu.Kwa sasa Madrid ni habari nyingine.

Huyu Pogba wa tz ambaye nchibimemshinda ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man UTD ni viti maalumu Uefa! [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]

Pogba wa tz nchi imekushinda!
Huyu Pogba wa tz ambayw nchi imemshinda ndoo nani????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutumia kiswahili ama kiingereza ni chaguo langu mimi. Kitu cha msingi ni ujumbe kufika na kueleweka nilitegemea uniambie ni wapi haujaelewa na sio lugha gani nitumie. Hauna uwezo wala mamlaka ya kunichagulia wala kunifundisha mpaka nitakapo ridhia mwenyewe kufanya hivyo bila ridhaa yangu ni kunivunjia heshima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usinipangieeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom