Kifo cha mbunge wa Uingereza Sir David Amess na ubaguzi wa wazi wa wazungu wa kimfumo

Mkombozi uwe ww?🤣🤣
 
Mwingereza aliondoka Tanganyika bila kuwa na kesi za ugaidi wala kuacha wafungwa wa kisiasa.
 
Mkuu umenena. Wazungu, wakiwemo Waingereza, ni wabaguzi sana.
 
Inatakiwa mfungwa mwingine huko jela ajitokeze amdunge hivyo Sabaya
 
Pigania haki nchini kwako, ya wazungu yamekuvuka kimo kwa mbali sana.
Wewe utakuwa una ubaguzi zaidi ya wazungu, maana hata hao wazungu wenyewe wanaotuhumiwa humu ila bado huwa wanaingilia nchi za wengine kwa kupigania kama tulivyoona Libya au wakati mwengine husitisha misaada katika nchi ambazo hakutendeki haki.
 
Kwa vyovyote vile wazungu ni afadhali. Waafrika, Wahindi, Wachina na Waarabu ni wabaguzi zaidi ya mzungu
Afadhali ipi unayoizungumzia? sio lazima ubaguzi ambao wanafanya waarabu basi na wazungu nao wafanye kwa namna hiyo hiyo au ubaguzi anaofanya mzungu basi na muafrika afanye hivyo hivyo pia. Tusichague matukio tu ya ubaguzi bali tuangalie ubaguzi kwa ujumla wake.
 
Mbona Chadema wanabaguliwa na CCM ambayo ina aamuru dola iwawinde kama nguchiro.
 
Na nyinyi waafrika, si mtulie kwenye Nchi zenu, mnafuata nini huko kama mnaona mnanyanyasika. Mmekaza kwenda kwao wakti nchi zenu ziko na fursa kibao. Mnapenda kubeba BOX
 
fata yako, ya wazungu ya nini na wakati hapa home kina makonda wameteka na kuua watu hovyo kwa kulinda uporaji wao
 
Mkuu umenena. Wazungu, wakiwemo Waingereza, ni wabaguzi sana.
Maadam tuliumbwa kwa race tofauti na kukawa na madaraja kimtizamo na hata kiuhalisia. japo hapa inahitaji ujasiri kuukubali ukweli huu.

Basi haya ya kubaguana tutaendelea kuishi nayo hapa Duniani hata kama sio kwenye Mwanga itafanyika hata gizani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…