ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Uzee upi madam? Hapo unaelekea kwenye peak ya kunogewa na utam, usijinyime raha bwana we...maisha bila hekaheka yafaa nini[emoji848]Acha nipambane nahali yangu tu wa kuwekana mie nahuu uzee naanzia wapi Walai![emoji848]