Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
We hufumbagi macho..!!?? Maana mlio wengi mnayafumba huku mnaimajini mmefika mbinguni bila kufa kudadadadeeeekii..!!Uzi unapepea vibaya, una siku ya tatu leo ila uko page ya 34, mmetisha wakuu😂😂.
Kifo cha mende is the best mnaonana kwa macho wote mnavoguna kiutamu. 🏃♀️