Kifo cha mende ndiyo mtindo pendwa zaidi kwa wanawake

Kifo cha mende ndiyo mtindo pendwa zaidi kwa wanawake

We Joannah wewee..!! una uhakika unakaza mwendo kweli? Na vifo vya mende, popo kanyea mbingu, style ya UMBWA etc kweli mwendo utakazika?
Kaka ya dunia Ni mengi Sana!umesahau style Ile ya msomalia kafia kwenye Fiat, urusi kavamia Ukraine,hapo hujasugua Gaga na hujachuma mchicha tembele!tutafika mbinguni tumechoka sana
 
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,


1. Wakorinto 6:9


MWENYE MASIKIO NA ASIKIE.
 
Back
Top Bottom