Kifo cha mende ndiyo mtindo pendwa zaidi kwa wanawake

Kifo cha mende ndiyo mtindo pendwa zaidi kwa wanawake

Mshaambiwa hakuna jipya humu Jichanganye [emoji16][emoji16]!!

Wigelekelo Kila ka kheriii
Ila boss lady, tuache unafki...
Wewe bwana basi tu, mjeda asijenitoa roho mie ugali bado nautaka.[emoji16][emoji16]

Japo sijakuelewa boss lady, hakuna jipya kiaje tena..watu wanataka kuwekana chap ujue[emoji16]
 
Rafiki

Ulinikataza(ga) hiyo michezo

Kwani umesahau
Michezo sio mizuri hiyo,

Sema makambako panashawishi ukipita[emoji16],

Unajiuliza?

Sijui niche puke?

Sijui ninyooshe?

Sijui nisimame??

Au ngoja kwanza nipark kwanza[emoji1787]
 
Back
Top Bottom