Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
Nikitoka hukuIla boss lady, tuache unafki...
Wewe bwana basi tu, mjeda asijenitoa roho mie ugali bado nautaka.[emoji16][emoji16]
Japo sijakuelewa boss lady, hakuna jipya kiaje tena..watu wanataka kuwekana chap ujue[emoji16]
Naenda huko alipo
Nitakupitia hapo mama john
Itabidi tu aelewe
Haiwezekani kula kwa macho