Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What?!!sorry jamani wakuu nina swali
Kwanini kifo cha mende ni maarufu kuliko vifo vya wadudu wote duniani?
Hata ulaya wapo, wanawaita cockroaches kwa lugha yao.maarufu wapi?
acha kuropoka kijana,unadhani mende wapo kila mahali hapa duniani?
Mhhh! Hii noma wakuu
Mhhh! Hii noma wakuu
Mkuu wapi mende hakuna hapa duniani acha uwongo kila sehem mende yupo na hufa kijinga ingawa ni mdudu mwenye speed duniani lakini hufa pale anapojikwa na miguu ikiangalia juu na hapo hufa kwa njaa maana hawez jigeuzamaarufu wapi?
acha kuropoka kijana,unadhani mende wapo kila mahali hapa duniani?
Kwa sababu kifo cha mende pale mende anapokufa huwaga anakufa akiwa chali.Sorry jamani wakuu nina swali Kwanini kifo cha mende ni maarufu kuliko vifo vya wadudu wote duniani?
Hivi hawajawekewa boom warudi shule?Sorry jamani wakuu nina swali Kwanini kifo cha mende ni maarufu kuliko vifo vya wadudu wote duniani?