kifo cha mende

kifo cha mende

Ni kwa sababu ni role model wa binadamu kwenye baadhi ya mambo
 
Kifo cha mende ni noma kulala kifudifudi ni mwiko, huenda anapenda kuekekeza macho kwa Muumba
 
Mhhh! Hii noma wakuu
color=red]Kama hivyo mkuu, ee kum* Mbegeresi
 
Kifo cha mende ni maarufu Tanzania but ulaya maarufu ni missionary..
 
maarufu wapi?
acha kuropoka kijana,unadhani mende wapo kila mahali hapa duniani?
Mkuu wapi mende hakuna hapa duniani acha uwongo kila sehem mende yupo na hufa kijinga ingawa ni mdudu mwenye speed duniani lakini hufa pale anapojikwa na miguu ikiangalia juu na hapo hufa kwa njaa maana hawez jigeuza
 
Sorry jamani wakuu nina swali Kwanini kifo cha mende ni maarufu kuliko vifo vya wadudu wote duniani?
Kwa sababu kifo cha mende pale mende anapokufa huwaga anakufa akiwa chali.

Kufa kwake mende kwa style hiyo ndo huwa kunafananishwa na style pendwa ya wapendwa wengi sana huwaga wanautumia kunako 6*6
 
Back
Top Bottom