kifo cha mende

Sorry jamani wakuu nina swali Kwanini kifo cha mende ni maarufu kuliko vifo vya wadudu wote duniani?
Taja moja wapo wa kifo hicho wengine wazito kuelewa.
Au una maanisha kile cha kubaniwa ukutani ukingonimwa ukuta
 
Kesho utakuja kuuliza kwanini wameita Doggie Style na sio snail style
 
Ni iyo kuga akiwa kalalia mgongo miguu juu na ni wote yan sio kubahatisha
 
Muwe munauliza basi hata namana ya kufuga kuku,kilimo cha matikiti nk.jamani mwee tutaendelea kweli?
 
Sorry jamani wakuu nina swali Kwanini kifo cha mende ni maarufu kuliko vifo vya wadudu wote duniani?
Msiba wa mende wapi sasa???

Ni maarufu sababi ndiyo njia pekee Mungu aliyotufundisha, ndiyo maana ata wanyama nao wanastyle yao kila kundi la wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…