Kifo cha Mende

Kifo cha Mende

752807b3178fb7d2e803160e70cdb614.jpg
 
Itakua tu wamemfanyia fitina mende wa watu, kwa umaarufu wake na kupendwa na watu wa kila rika

Daah nina uchungu wa huo msiba hapa nalia tu 😭😭
Wafitini wabaya sana 😂

Pole usilie sana maana huyo Depal ndio atalia mpaka alie tena na anavyojua kulia kilizi yule 😂😂
 
Hapo zamani vifo vya mende vilipata umaarufu sana lakini vilipotea kutokana na vifo vingine kama mbuzi kagoma kwenda,popo kanyea mbingu, pamoja na chuma mboga kugunduliwa

lakini karne hii 21 vifo vingi vya mende vimefanikiwa kurudi rasmi hasa kwenye biashara za kupandisha uchumi wa mtu mmoja mmoja.

Vifo vingi vya mdudu huyu hupatikana nyumba za wageni hasa mkoani Dasalama,Mwanza,Arusha,Dodoma n.k na hatuna taarifa kamili ni gonjwa gani huwakumba ila tungependa sana kutokomeza vifo hivi.
 
Back
Top Bottom