Katika hali isiyo ya kawaida Jeshi la Marekani lilipata pigo la mwaka ndani ya ardhi ya Iraq baada ya mmoja wa watu muhimu sana ndani ya Jeshi lake kuuwawa ktk tukio ambalo lilifanya USA kumualika rafiki yake wa Israel kusaidiana kuteguwa kitendawili maana mtu alie kuwa ameuwawa sio tu alikuwa mwanajeshi wa USA alie kuwa na asili ya Iraq ila pia alikuwa na mafungamano na moja ya idara nyeti sana ya usalama wa Marekani CIA. Huyu sio mwingine Bali ni Nawres Hamid alie uwawa Dec 2019 ktk tukio baya kabisa kuwahi tokea ndani ya Iraq.
Kifo chake hakikuwa tu ni pigo ndani ya idara ya Jeshi la Marekani ila kilikuwa ni tusi kwa idara ya usalama wa Marekani CIA kutokana na umuhimu wa huyu Contractor. Haikupita muda ubalozi wa Marekani nchini Iraq pia ukavamiwa na kuharibiwa vibaya.
Ikumbukwe wakati haya yanaendelea ktk dunia ya siri ya wana usalama walikuwa wakikusanya taarifa muhimu sana jinsi watu wabaya walivyo weza dukua taarifa muhimu ndani ya idara za usalama wa Marekani na kuweza kumuuwa mtu alie kuwa muhimu sana ndani ya idara za usalama wa Taifa wa Marekani na Jeshi la Marekani. Mtu alie kuwa sio rahisi kumtambuwa ama kujuwa kazi anafanya kama huna taarifa za muhimu kutoka ndani ya idara au Jeshi la Marekani.
Mkandarasi huyu ndani ya Jeshi la Marekani alikuwa ni mzaliwa wa Iraq na ndie alikuwa mtu muhimu sana ktk utendaji wa Jeshi la Marekani na upangaji wa ulinzi ndani ya Taifa la Iraq. Marekani kwa kumtambuwa huyu Mkandarasi walimpa green passport yeye pamoja na familia yake. Yani familia yake hawatokaa wasikie njaa maisha yao yote na watoto wake wataingizwa ktk kuendeleza kazi ya baba yao. While baba yao akiwa vitani nakuijenga Iraq watoto na familia yake walikuwa wakila Raha Marekani.
Ktk jicho la tatu tuna weza kujiuliza why huyu Mkandarasi and why baada ya kifo chake Rais wa Marekani wakati ule Donald Trump Ali sign hati ya kifo kwa siri pasipo julisha Congress na alitoa taarifa fupi kwa Congress baada ya kumaliza mission.
Twende kwenye ulimwengu wa kijasusi na siri ambazo hata Mimi naandika kwa juu sana maana bado hazijakuwa reveal hata kwa bunge la Marekani Yani we call top secret mission. Only elite in side nation know... Under vault information.
Tetesi zina sema Before ya kifo cha huyu Muhandisi Hamid wa Jeshi la Marekani miaka zaid ya ishirini nyuma idara njeti ya ujasusi wa ndani ya Israel walinusa jambo ndani ya Taifa la Irani nakumtonya rafiki yake wakufa nakuzikana Marekani juu ya kikosi hatari kilicho undwa ndani ya Irani kikiwa na General katili na mwenye uwezo mkubwa wakivita same mtiifu kwa Khayatola Khomenei mkuu wataifa la Iran. Mossad walitoa report ambayo kwa kipindi kirefu ndani ya Marekani Idara nyeti za usalama zimekuwa zikivutana juu ya kula kichwa cha huyu General mtiifu kwa jina Qasseim Soleiman. Una ambiwa idara nyeti za usalama wa Marekani baada ya kuchunguza na kujuwa ukweli wakike waliletewa na rafiki yao walitoa hati ya kifo ambayo ilipaswa kuwa sign na Rais wa Marekani ila una ambiwa kwa unyeti wa hii hati zaidi ya Marais wawili before Donald Trump walipiga chini ku sign hati ya kifo kwa huyu Mwamba.
Ila baada ya kifo cha kudunguliwa kwa huyu Mkandarasi na uvamizi wa ubalozi wa Marekani nakuupiga mawe nakuharibika vibaya USA under very special elite team they was decide to eliminate Qasseim Soleiman. Mmoja wa ma General walitikisa mashariki ya kati.
Iligundulika huyu jamaa na mwenzake Mohamed Mohandiz ndio walikuwa nyuma ya tukio la mauwaji ya huyu Mkandarasi na kuvamiwa kwa ubalozi wa Marekani. Jambo liliwatisha sana na kuwaumiza Wamarekani nikipata taarifa ya siri kuwa mwamba anaingia Iraq nakutoka kama kwake Yani analala nakula life ndani ya Nchi wao wamo while anajuwa hawajamalizana . Yes Iran na USA hawajamalizana na wanajuwa Hilo.
Basi Marekani akatumia idara zake kupata taarifa jinsi jamaa anavyo zunguka na kuingia ndani ya Iraq kama kwake... Maana hawaoni ndege au magari yakiingia ktk Taifa hilo wakayashuku........ Ikumbukwe anga zima la Iraq jamaa ana li monitor kiasi hakuna ujinga utafanya asikuone.
Tetesi zina sema Mossad ndio mwamba wa hapo mashariki ya kati Yani hapa mashariki ya kati hata ukiwatuma kitu ndani ya ikulu za Iran jamaa watakulete..... Shabashi....
Unaweza kuwaza how jamaa waliweza. Pata file zima la mshikaji na USA wakamalizia.....
Itaendelea..