Kifo cha Mtakatifu Perpetua na Felista

Mambo ya Walawi, 11:45 inasema hivi, Kweli, ni mimi Bwana niliyewaondoa katika nchi ya Misri nipate kuwa Mungu wenu; basi ninyi mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.
Na Mtume Petro katika barua yake ya kwanza (1 Pet 1: 14-16) anakazia kwa kusema, "Muwe watoto watiifu. Msifuate tena tamaa zenu kama wakati mlipokuwa hamjui bado kitu. Bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, hivyo yawapasa ninyi pia kuwa watakatifu katika mwenendo wenu wote. Kwa maana imeandikwa: "Muwe watakatifu kwa kuwa mimi nilivyo mtakatifu."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna aliyekufa atakayekuombea wewe. Na hata aliye hai hakuombei ufutiwe dhambi.dhambu zako hazifutwi kwa maombi ya watu wengine.ni wewe kuziacha.habari za kuwa watakatifu wanatuombea huo ni uongo.

Nahisi hata ndoa ulijifungisha na ubatizo ulijpa mwenyewe si kweli ndugu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi. Anayekuombea yupo wapi?marehemu hawezi kukuombea kama ambavyo wewe huwezi kumwombea akapata rehema huko aliko.anayeweza kukuombea ubadilike ni aliye hai.but yeye haondoi dhambi zako.kama unazo zitabaki zako.badilika tu ndo msingi

Ninaweza kujiombea na kuombewa.
 
Safi. Anayekuombea yupo wapi?
Kokote - mbinguni au duniani

marehemu hawezi kukuombea kama ambavyo wewe huwezi kumwombea akapata rehema huko aliko.
Nani alikudanganya? Mbona hata kwenye Biblia watu wengi tu waliombea marehemu na sehemu nyingine marehemu waliwaombea watu waliohai?

anayeweza kukuombea ubadilike ni aliye hai.
Kama aliyehai anaweza kuniombea, kwa nini marehemu asiniombee?

Usikariri.
 
Wewe umekaririshwa. Nipe kifungu cha marehemu kumwombea aliye hai kwenye biblia.

Biblia inasema kufa mara moja na baada ya kifo hukumu. Waebrania 9:27
Hata uombewe na nani.mapadre au wachungaji,maaskofu milion 100 kama ulitenda dhambi haikusaidii kitu. Hujasoma hbr za Lazaro? Twende kwa vifungu siyo kukaririshwa.


Kokote - mbinguni au duniani


Nani alikudanganya? Mbona hata kwenye Biblia watu wengi tu waliombea marehemu na sehemu nyingine marehemu waliwaombea watu waliohai?


Kama aliyehai anaweza kuniombea, kwa nini marehemu asiniombee?

Usikariri.
 
Hii mada tulishaiongea sana humu, kama upo kwenye jukwaa la dini useme niku-tag.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…