Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

Kifo cha mtu gani maarufu kishawahi kukusikitisha?

John Magufuli inaonyesha alikubalika na kupendwa sana. Challenge zote zinazomuhusisha akiwa hai na hii ya kuumiza kwa kifo. Amekuwa akipata kura/ kutajwa kwa wingi kushinda wowote.
Alikuwa na matatizo yake lakini aisee alikuwa kiongozi sahihi sana kwa nchi yetu. Mabadiliko ya kweli yalianza kuonekana!

Ingekuwa mimi ndiyo mwamuzi ningependa Afrika yote Kusini mwa Jangwa la Sahara itawaliwe kwa miaka 30 tu na viongozi wa aina ya JPM - wafanye watakayo halafu waondoke. Bara hili zima lingevuvumka kutoka katika unyonge wake wa kifikra, kimtazamo, kibinadamu na muhimu zaidi kiuchumi. Lakini kwa bahati mbaya sana, wakubwa wa dunia wanalijua hili na viongozi wa aina hii hapa Afrika huwa hawadumu.
 

Attachments

  • 255713616127_status_017ea13feec146dcac7904a47a929518.jpg
    255713616127_status_017ea13feec146dcac7904a47a929518.jpg
    38.9 KB · Views: 2
Osama Bin Laden kifo chake kilinisikitisha sana nilitamani wamkamate akiwa hai then wamkate ndevu kwa chupa then wamnyoe upara then wamvalishe magwanda ya Orange then wamtupe pale Keko!
Shabhashhhh!
Mbona jamaa yuko area 51 anakula tu bata. Nani kakudanganya kuwa kafa
 
Ukiona mtu anapambana kumponda JPM ma kufurahia kifo chake ujue kuwa....... Watamalizia wenzangu kibao
 
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.

Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango wake katika jamii au athari chanya aliyoleta?
Bond, James Bond.
 
Tumekuwa tukiumizwa na vifo vua watu wa karibu Kama ndugu jamaa au marafiki au majirani kutokana na bond tuliyokuwa nayo.

Je, kifo Cha mtu Gani maarufu kishawahi kukusikitisha kutokana na mchango wake katika jamii au athari chanya aliyoleta?
MAGUFULI,nilitoa hadi chozi utazani ni mzazi wangu japo kwenye utumishi alitunyonga sana but I never forget that man alikuwa mtu mwenye maamuzi n amisimamo,R.I.P #MAGU
 
Yesu kristo, pamoja na kuwaponya na kuwashibisha lakini walimuua.!!
 
Inaniuma Kwa sababu ilikuwa katikati ya mapambano ya kupinga dhuluma yaliyotia shahuku ya kujua hitimisho la Afrika mikuki vs Erupo bullets.

Vifo vya namna hii vinanihudhunisha sana ila mbali na vifo vya namna hii hakuna kitu acha watu wakapumzike tu.(magonjwa,vita,njaa, propaganda za kisiasa,uchawi,ishirikina na umbeya,mapenzi feki.watu wanachoshwa sana.)
1717217237551.jpg
 
Jasusi pombe magufuli iliniuma , mwinyi ,mkapa , na mwaikibaki hao .
 
Back
Top Bottom