Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Ulikuwa wapi?,mimi nilikuwa darasa la pili shule moja maarufu jijini Mwanza, mwalim akapiga kengele akasema tunarudi nyumbani sababu Nyerere kafariki,nilikuwa hata sijui Nyerere ni nani, mimi nilikuwa namjua Ben Mkapa pekee,kurudi nyumbani jioni yake tunakuta Komba tayari ameshafanya yake (Jamaa alikuwa fasta sana) japo Tv tulikuwa tunaangalia kwa jirani.
Nyerere pumzika kwa amani
 
Lazima niwe mkweli nilikuwa darasa la sita shule ya msingi Mbuyuni hapo njia ya kuelekea posta, tulirudishw home kisa nyerere kafa, nilipofika nyumbani nilimkuta mwenye nyumba analia mithili ya mtu aliyebakwa
jamaa unajua hapa nilipo nipo kwenye kikao cha wazaz hapa shulen yaani nimecheka sana mpaka wazaz wananishangaa yaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…