Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Mm pia nilikua form four nakumbuka tulikua tunajiandaa na graduation ila ilifutwa coz Rais Mkapa alitangaza siku 30 za maombolezo
Hata mimi huu msiba ulifanya graduation yetu ya form 4 ikafutwa
 
Kipindi hicho nasoma chekechea, narudishwa nyumbani na gari dereva akaanza kuniambia mzee kafariki alipata taarifa kwenye radio ya gari... Kipindi hicho tunaishi kwenye nyumba za serikali masaki
 
Nilikuwa mid term ya mwezi wa tisa, enzi hizo niko std moko!
 
Acha roho mbaya wewe tena si ajabu wenye umri mdogo wana hekima kuliko wenye umri mkubwa. Ukubwa wa mtu hatuangalii idadi ya miaka aliyonayo au wingi wa mvi zake bali tunaangalia busara na hekima zake katika mambo mbalimbali ya kiutendaji hata utatuzi wa shida katika jamii inayomzunguka.
Ukubwa una tatuzi za mambo mengi usikatae
 
Na Lupembe, na yule mwalimu wa kingereza mweusii mmama alikua na mtoto wake wa kike std4 alikua anachapa balaa..
ndo yule alikuwa anaishi kigamboni, alikuwa analeta maziwa ya cowbell? nilikuwa la nne C.
 
Nilikuwa chumba cha sita, lakini nilikuwa na akili zangu, kwani SHULE yetu ipo karibu na makaazi so niliskia wimbo wa taifa unapigwa redioni mchana kwenye saa sita na ushee hv, nikawaambia marafiki zangu"mbona wimbo unapigwa sahv" mmoja wa marafiki zangu akasema kitu sio bure ndio tukaenda kusikiliza.
Dah! Hapa nilicomment mimi kweli?
 
Umeonaeee, sie wakati huyo jamaa anakufa tuwatu wazima kabisa na k tunakula. Nashangaa wengi wanasema lapili mara darasa la tatu, si bora hao walokuwa form 4. Ndo maana tunapojadili maswala ya msingi huku tunakuwa na shida sana kumbe watoto wamejaaa aghhhhhrrrri.

Natania tu bwana watotot msiogope, nyie ndo mnafanya JF isiwe boared, I like you kids.
Ila mkuu hao waliokuwa darasa la pili 99 leo watu wazima sana appro miaka 30 washafika. Unaanzaje kuwaita watoto
 
nilikuwa kwenye suruali ya baba au kama sikumbuki vzr nilikuwa kwenye karanga huko shambani
 
Nilikua darasa la nne..nakumbuka nilikua nimetoka tuittion na rafiki zangu wengine..tunasubiri muda wa kuingia darasani ..mida ya saa nne kengele iligongwa , mwalimu wa zamu akatoa Taarifa na tukaruhusiwa.
 
Back
Top Bottom