Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

Mm pia nilikua form four nakumbuka tulikua tunajiandaa na graduation ila ilifutwa coz Rais Mkapa alitangaza siku 30 za maombolezo
Hata mimi huu msiba ulifanya graduation yetu ya form 4 ikafutwa
 
Kipindi hicho nasoma chekechea, narudishwa nyumbani na gari dereva akaanza kuniambia mzee kafariki alipata taarifa kwenye radio ya gari... Kipindi hicho tunaishi kwenye nyumba za serikali masaki
 
Nilikuwa mid term ya mwezi wa tisa, enzi hizo niko std moko!
 
Ukubwa una tatuzi za mambo mengi usikatae
 
Na Lupembe, na yule mwalimu wa kingereza mweusii mmama alikua na mtoto wake wa kike std4 alikua anachapa balaa..
ndo yule alikuwa anaishi kigamboni, alikuwa analeta maziwa ya cowbell? nilikuwa la nne C.
 
Dah! Hapa nilicomment mimi kweli?
 
Ila mkuu hao waliokuwa darasa la pili 99 leo watu wazima sana appro miaka 30 washafika. Unaanzaje kuwaita watoto
 
nilikuwa kwenye suruali ya baba au kama sikumbuki vzr nilikuwa kwenye karanga huko shambani
 
Nilikua darasa la nne..nakumbuka nilikua nimetoka tuittion na rafiki zangu wengine..tunasubiri muda wa kuingia darasani ..mida ya saa nne kengele iligongwa , mwalimu wa zamu akatoa Taarifa na tukaruhusiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…