Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Dah nawew umekula chumvi nyingi kwa kweli aseeShycom f6......!
Me nilikuwa nasoma vidudu katika jengo moja hivi la duara lina gorofa moja lipo karibu na uwanja wa mpira wa kambarage........... nilikuwa naishi naishi majengo ya zamani karibu na buchosa bar mtaa wa maduka mengiUlikua unaishi Mwasele, Lubaga au Bushushu mzee????
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
ShikamooShimamoo saragossa
mbona utwitter wenu pia hatuuonJf imevamiwa na watoto siku hizi!
ndio maana ufacebook mwingi sana humu
Mm pia nilikua form four nakumbuka tulikua tunajiandaa na graduation ila ilifutwa coz Rais Mkapa alitangaza siku 30 za maombolezoNilikuwa secondary form four tunaandaa mahafali keshokutwa j.mosi Alafu Jumapili mikumi. zikafutwa hapo hapo
Kama wewe ni mtu mzima na ushauri wako ndo huu???....wacha watoto watawale...unatuangusha Mkuu.Kumbe huku % kubwa ni watoto ?,ushauri wangu ni huu,suala la umri lizingatiwe ili uweze kuwa member wa jf,pls wahusika walifanyie Kali
Umeonaeee, sie wakati huyo jamaa anakufa tuwatu wazima kabisa na k tunakula. Nashangaa wengi wanasema lapili mara darasa la tatu, si bora hao walokuwa form 4. Ndo maana tunapojadili maswala ya msingi huku tunakuwa na shida sana kumbe watoto wamejaaa aghhhhhrrrri.Kumbe watoto wadogo wengi humu la pili, la tatu???
Acha roho mbaya wewe tena si ajabu wenye umri mdogo wana hekima kuliko wenye umri mkubwa. Ukubwa wa mtu hatuangalii idadi ya miaka aliyonayo au wingi wa mvi zake bali tunaangalia busara na hekima zake katika mambo mbalimbali ya kiutendaji hata utatuzi wa shida katika jamii inayomzunguka.Kumbe huku % kubwa ni watoto ?,ushauri wangu ni huu,suala la umri lizingatiwe ili uweze kuwa member wa jf,pls wahusika walifanyie Kali