Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

Naunga mkono

Sent from my Iphone
 
Kuna casino flani maarufu hapo Dar, Mengi alikua anaenda kucheza hio michezo Sana,kuacha mil 40 per night ilikua kawaida Sana.Na Wala sio inshu Maana "anachapisha hela kila siku" (Industries),Sasa wanyonge wakusubiria nyongeza ya mshahara lazima tuone Ni story za uongo hizi.

Wakina Kusaga wamepark Yatch zao pale Yatch club na wanapiga bataz za kufa mtu.

Mtu anaesema matajiri hawali Bata anakua anaongelea wale matajiri wetu tuliowazoea wa kina Mwakipande.
 

anazungumzia wale watoa kafara wenye hela za uganga, Tajiri una hela halafu unalala chini......hahahahha
 
anazungumzia wale watoa kafara wenye hela za uganga, Tajiri una hela halafu unalala chini......hahahahha
Linapokuja suala kutumia pesa, kuna mambo matatu kwa mawazo yangu yanapelekea kutofautiana kwenye utumiaji.

1-Interest ya mtumiaji.
2-Level ya mtumiaji.
3-Tabia ya mtumiaji.

Unaweza kuta mtu ana pesa kweli, ni tajiri, interest yake ni magari sio kunywa pombe wala wanawake huyo kununua rolls royce ya 2B ni kawaida.
Kuna mwingine ana pesa, interest zake ni wanawake, kuhonga 20M kwa mwanamke wa kupita nae sio kitu.
Kuna mwingine ana interest na vitu vya thamani na bata za kila aina lakini mfuko hauruhusu hawa ndio wapo humu, wanasema tajiri hawatumii pesa hovyo, tajiri wanatumia pesa hovyo, sema interest zao na level zake hazimruhusu kuwepo kidimbwi, imagine Manji aibuke kidimbwi aanze na yeye kucheza mziki hapo, lakini si kwamba eti haendi kwa sababu ya kutumia pesa hovyo, kuna kipindi kama sikosei huyo huyo Manji alilipia mashabiki milioni 100 Tshs waingie kucheki game.

Hakuna mtu hapendi bata, kila mtu anakula bata kwa muongozo wa hayo mambo
Tabia
Level
Interest

Mawazo yangu lakini.
 
Rafiki zangu wakaka wanasemaga demu wako akikusumbua mpeleke Kidimbwi akiona zile pisi kali atatulia mwenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Ila Kidimbwi kuna warembo jamani. Nikiendaga pale naishia tu kusema, "Wanaume wana kazi sana"
 
Nimeamini Mimi Deceiver ni mshamba hapa mjini.
JW Red label ndio kinywaji Cha Bei ndogo @ 80,000 wakati huku Kimara nikiwa na 80,000 na jamaa zangu wawili tutakula mkia mzima, beer zakutosha, Pai mbili mbili na chenji ya bodaboda inabaki.
Satoh Hirosh ntakutafuta siku nikipata laki tatu unipeleke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…