Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

Mkuu kwani hujui kwamba Malaya Wana grade?

Mfano Kuna wale wa tandika wahaya ukiwa na buku tatu unachachua alafu kuna slay queens na bongo muvi km ex wa janjaro ambaye ukitaka kumgonga sharti mkutane Dubai mfuko ukiwa na mil 5-10
Mmh! 5-10 million, kwa ajiri ya kei tu.. πŸšΆπŸšΆπŸšΆπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Kidimbwi imtokana na Tips mikocheni, na sasa wamefungua nyingine Tegeta kibaoni inaitwa Kiota,
Wamiliki baadhi ni watoto wa viongozi wastaafu,
 
Laki 3 mkuu hela ya Malaya mmoja Tu kutumia nae usiku alafu unataka unitafute twende kidimbwi tukatie aibu hahaha[emoji28]..tafuta Kwanza financial freedom ili hata tukitumia hiyo laki 3 Kwa pombe moja kichwa kisiwake Moto Kwa mawazo
Duh...
Hapa standard bar Kimara na ni bar inavuma siku za katikati ya wiki mauzo sio faida, mauzo ndio hiyo laki tatu.
 
Mie nilishajaribu bangi pombe aina zote hadi cocain nimejaribu lakini hazijawahi nipa furaha na raha kama mbususu. So nikaona wacha nitulie na mbususu tuu
🀣🀣🀣
 
Waende ibiza, miami, santorini hukoo ndo wataona jeuri za matajiri
Hao wana hela kiasi na wameamua tu kutesti ladha ya hela ila wakiwa nazo za kutosha asee bata zao ni next level
Jirani........😁😁
 
Wanaume tumeumbwa mateso na mahangaiko
 
Ile motivation spirits vipi unayo bado, binadamu tunajisahau sana lisaa tu, kuna vitu vinakutia hasira na kukusukuma lakini baada ya muda unajisahau tena, umasikini ni rafiki yake uvivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…