Kifo cha Samora Machel

Kifo cha Samora Machel

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Samora Machel alikuwa Rais wa kwanza wa Mozambiki na kipenzi sana cha Rais Nyerere na kaunda. Alifariki kwa ajali ya ndege mwaka 1986 akitokea Lusaka kurudi Maputo na ndege yake (Tupolev Tu-134) ikaanguka kwenye vilima vya Mbuzini huko South Africa. Uchunguzi haukuwa conclusive ila idara ya usafiri wa anga ya USSR ambako ndege ya Machel ilikuwa imenunuliwa walibaini kuwa ndege ya Machel ilimulikwa na beam iliyoingoza kwenye beacon fake iliyokuwa imepandikizwa Mbuzini kusudi ndege yake ianguke na yeye afe. Watu wengi hawakukubaliana ya ripoti hiyo ya USSR kwa kudai kuwa ilikuwa ni accident tu lakini miaka 30 baadaye ukweli umejitokeaza kuwa ni kweli makaburu waliongoza ndege hiyo kwenye beacon fake. Fuatlia documentary hii (japo ya zamani kidogo) ulinganishe na Wikipedia record hapo chini

View: https://www.youtube.com/watch?v=_9RWHhw5ai4

Asante mkuu
 
Back
Top Bottom