Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Mkapa alilaaniwa mno au wakati huo wewe ulikuwa bado karanga?Wewe kafiri jibu na hayo mengine utuambie Mkapa naye ni Mzanzibar au Muislam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkapa alilaaniwa mno au wakati huo wewe ulikuwa bado karanga?Wewe kafiri jibu na hayo mengine utuambie Mkapa naye ni Mzanzibar au Muislam?
Hakuna watu wapumbavu kuwazidi waislamu yaani ukimkosoa kiongozi muislamu tu ni tatizoKwa hiyo kama ni muislam asiandikwe kwa mabaya yake acha fikra potofu,dini zimekuja tu na majahazi
We ndo umenipa Jibu kwanini Sasa hivi kuna spinning nyingi sana hata kwenye ukweliMimi nikiwa Rais hakuna atakayekufa Kwa kuikosoa serikali!!
Yaani naamini katika spinning. Team ya kisaikolojia zaidi!!
Hivi system unashindwaje kipropaganda na mtu mmoja!!?
Kumuua mtu mmoja kisa eti anaikosoa serikali ni uzembe wa serikali yenyewe!!
Stan asingetoweka kizembe Lisa loliondo mbona Bandari imeenda bila mwandishi kwenda !!?
Kumpoteza mtu kisa mawazo kinzani ni uwezo hafifu was dola kama kweli imehusika kumpoteza mhusika!!
Team spinning no njia nzuri zaidi ya ku deal na wakosoaji!!
Ameshaomba Msamaha soma kitabu chake..Tatizo la ishu ya Loliondo ni kutendeka kwa unyama mwingi sana. Mzee wetu alitukosea sana na sidhani kama alishawahi hata kuomba msamaha. Kuuza sehemu ya nchi ni kukosa uzalendo.
Kabisa , kuna siku nilimuuliza binti yangu.Mabinti wa siku hizi waulize habari za Zuchu tu,big up binti wa zamani
Vijana wengi wanasifika tu bila kuchambua historia. Serikali ya Mwinyi ilihusika moja kwa moja na kifo cha Katabalo sababu alikua ni mwandishi mahiri wa habari za uchunguzi na aliweza kufungua uchafu wote wa ali Hassan mwinyin na serikali yake wa kuuza maliasili zetu kwa waarabu. Anachofanya Samia kwa sasa marudio ya rais Mwinyi wakati wa utawala wake, huenda ndio maana akamleta Makonda amsaidie kwa kazi maalumUkweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara.
Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu.
Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo.
Waandishi wote either waliongwa au waliogopa,Stan Katabaro alliripoti mambo mazito, kilichompata ni kuacha mjane na watoto kadhaa
Kifo chake kilijaa utata, Mzee Ruksa baada ya kuambiwa Stan kafa alilia machozi hadharani, mpaka leo haijulikani machozi yale yalimaanisha nini maana alimsumbua sana mzee Ruksa na utawala wake kuhusiana na hiyo kashfa, Stan ni Ken Saro-Wiwa wa Tanzania.
Pia soma
- Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!
Tz 🇹🇿 diplomacy hakuna kabisa, hakuna kinacho shindikana kwenye Meza ya majadiliano,Mimi nikiwa Rais hakuna atakayekufa Kwa kuikosoa serikali!!
Yaani naamini katika spinning. Team ya kisaikolojia zaidi!!
Hivi system unashindwaje kipropaganda na mtu mmoja!!?
Kumuua mtu mmoja kisa eti anaikosoa serikali ni uzembe wa serikali yenyewe!!
Stan asingetoweka kizembe Lisa loliondo mbona Bandari imeenda bila mwandishi kwenda !!?
Kumpoteza mtu kisa mawazo kinzani ni uwezo hafifu was dola kama kweli imehusika kumpoteza mhusika!!
Team spinning no njia nzuri zaidi ya ku deal na wakosoaji!!
na bado limebaki kuwa eneo tengefu la uwindaji tusioweza kuhoji lolote.Tatizo la ishu ya Loliondo ni kutendeka kwa unyama mwingi sana. Mzee wetu alitukosea sana na sidhani kama alishawahi hata kuomba msamaha. Kuuza sehemu ya nchi ni kukosa uzalendo.
Ukichelewa ile Jumatano asubuhi limeishaHili ndio doa kubwa aliloenda nalo kuzimu muda sasa kakutana na Katabalo.Gazeti la Mfanyakazi enzi hizo tunalipigania kama Peremende.
Hauna uwezo wa kunitahadharisha mimi kwasababu kiumri nimemzidi baba yakoTuheshimiane tafadhali haijalishi una umri gani lakini sina udogo wa kunidhalilisha,naweza kukujibu chochote nakutahadhalisha tu.
Unaona ujinga niliouzungumzia kuhusu waislamu? Hivi mtu aliyestaarabika anaweza kujisifia kufira au wewe ni mpemba? Kwasababu huko ni vitu vya kawaida mnoMuulize mama yako aliyemfira jana nani?
Ni jambo baya sana kutukana matusi ya nguoni kama hivi(kwa sauti ya Mzee Mwinyi wakati mgomo wa chuo kikuu in early 90s)... IMO, social media is for learning and having fun...not a place for bullying na kutoleana lugha za matusi...haipendezi...!Muulize mama yako aliyemfira jana nani?
Mimi pia nimekwazika.Ni jambo baya sana kutukana matusi ya nguoni kama hivi(kwa sauti ya Mzee Mwinyi wakati mgomo wa chuo kikuu in early 90s)... IMO, social media is for learning and having fun...not a place for bullying na kutoleana lugha za matusi...haipendezi...!
Am 48 now, maybe am outdated...nisamehe ikiwa nimekukwaza!
Kwakuwa wewe ni msagajiSawa mimi binti lakini ndiyo ushangae binti anawezaje kumfira mama yako!.
Kwa mambo ya nepotism hakuna kiongozi Tanzania ambaye atajisifu siyo. Bado hajatokea Bado tusidanganyaneEnzi za vimemo kupitia messenger mzee Butiku na waziri mkuu Jaji Warioba?!!! Unazungumza Enzi za kivuli cha Mwalimu JKN na kupanga nani awe waziri nani akae paleee? Hauwezi kuwa serious na Enzi za zidumu fikra za Mwenyekiti
matumbo yakishawavimbia, wanaelewa basi!Kiko wapi sasa
Mm huu uzi niliuapandisha kuuzu mzee mwinyi kuuza loliondo kwa waaarabu wa OBC ottelo business cooperationUkweli usemwe marais wa kutoka Zanzibar huwa hawalindi maliasili za bara.
Enzi za utawala wa mzee Ruksa kuliibuka sintofahamu kuhusu Lokiondo kuuzwa kwa waarabu.
Aliyekuwa waziri wa maliasili Abubakar Mgumia alipobanwa alisema muulizeni Rais mimi natekeleza tu maagizo.
Waandishi wote either waliongwa au waliogopa,Stan Katabaro alliripoti mambo mazito, kilichompata ni kuacha mjane na watoto kadhaa
Kifo chake kilijaa utata, Mzee Ruksa baada ya kuambiwa Stan kafa alilia machozi hadharani, mpaka leo haijulikani machozi yale yalimaanisha nini maana alimsumbua sana mzee Ruksa na utawala wake kuhusiana na hiyo kashfa, Stan ni Ken Saro-Wiwa wa Tanzania.
Pia soma
- Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!
Nepotism ndio nini mkuuKwa mambo ya nepotism hakuna kiongozi Tanzania ambaye atajisifu siyo. Bado hajatokea Bado tusidanganyane
Kama hujui kitu Kaa kimya. Stan alikuwa, unaandika kana kwamba hatukuwepo kipindi hicho. Acha utapeliStan Katabaro alikufa kwa HIV AIDS acheni kupotosha mambo.