Kifo cha Stan Katabaro kilivyoharibu legacy ya hayati Mzee Mwinyi

We ndo umenipa Jibu kwanini Sasa hivi kuna spinning nyingi sana hata kwenye ukweli
 
Nika
Mabinti wa siku hizi waulize habari za Zuchu tu,big up binti wa zamani
Kabisa , kuna siku nilimuuliza binti yangu.
Umewahi kununua gazeti?
Alinishangaa kama nimemuliza umewahi kumuona Lucifer!
Nilisikia tu huruma, kile kipindi mimi nilikuwa natenga pesa ya kununua magazeti ya Rai , kumsoma Silva Rweyemamu na Jenerali Ulimwengu na makala yake ya Binti Hidaya.

Likaja Tanzania Daima (la mwanzo lile kabla halijachakachuliwa)
Citizen pia kulikuwa na makala very eye opening!
Siku hizi hata sijui wanasoma nini aiseeh!
 
Vijana wengi wanasifika tu bila kuchambua historia. Serikali ya Mwinyi ilihusika moja kwa moja na kifo cha Katabalo sababu alikua ni mwandishi mahiri wa habari za uchunguzi na aliweza kufungua uchafu wote wa ali Hassan mwinyin na serikali yake wa kuuza maliasili zetu kwa waarabu. Anachofanya Samia kwa sasa marudio ya rais Mwinyi wakati wa utawala wake, huenda ndio maana akamleta Makonda amsaidie kwa kazi maalum
 
Tz 🇹🇿 diplomacy hakuna kabisa, hakuna kinacho shindikana kwenye Meza ya majadiliano,
 
Tatizo la ishu ya Loliondo ni kutendeka kwa unyama mwingi sana. Mzee wetu alitukosea sana na sidhani kama alishawahi hata kuomba msamaha. Kuuza sehemu ya nchi ni kukosa uzalendo.
na bado limebaki kuwa eneo tengefu la uwindaji tusioweza kuhoji lolote.
Ila hii nchi imeshapita kwenye mikono ya waaaaatu!
 
Muulize mama yako aliyemfira jana nani?
Ni jambo baya sana kutukana matusi ya nguoni kama hivi(kwa sauti ya Mzee Mwinyi wakati mgomo wa chuo kikuu in early 90s)... IMO, social media is for learning and having fun...not a place for bullying na kutoleana lugha za matusi...haipendezi...!

Am 48 now, maybe am outdated...nisamehe ikiwa nimekukwaza!
 
Ni kweli Wazanzibar huwa hawana huruma na maliasili za bara wao ni kuuza tu. Angalia sakata la Loliondo na Bandari ya Dsm. Mbona vya Zanzibar huwa hawauzi?
 
Mimi pia nimekwazika.
Ulikuwa ni uzi mzuri tu, niliotarajia unaendeshwa na angalau ambao tuliishi nyakati ambazo matusi ilikuwa ni kitu dhalili kukisoma au/na kukiandika pamoja na/au kukisikia au/na kukitamka!

well, Binadamu tuko tofauti!
 
Enzi za vimemo kupitia messenger mzee Butiku na waziri mkuu Jaji Warioba?!!! Unazungumza Enzi za kivuli cha Mwalimu JKN na kupanga nani awe waziri nani akae paleee? Hauwezi kuwa serious na Enzi za zidumu fikra za Mwenyekiti
Kwa mambo ya nepotism hakuna kiongozi Tanzania ambaye atajisifu siyo. Bado hajatokea Bado tusidanganyane
 
Mm huu uzi niliuapandisha kuuzu mzee mwinyi kuuza loliondo kwa waaarabu wa OBC ottelo business cooperation
Ilifutwa na sijapewa sababu za kufutwa

Mwinyi anaongelewakuwa Ni my muuungwana sna mm Sina shida na uungqama wake kosa lake kubwa kuuza loliondo kwa waaarabu kinyemela alfu anakah kimya as if Hakuna madudu ameyafanya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…