Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Mods mmechanganya hizi topcs mpaka zimekosa maana kabisa. Kuweni na mpangilio basi!
 
Yaani anataka mwanae anyongwe sio?
Manake na mama yake kanumba anataka haki pia itendeke na ukweli ujulikane!!!
 
Wazazi wemechemka!!! Hivi wewe unajifanya hauoni jinsi gani jamii imezungukwa na mmomonyoko wa maadili. Na mchangiaji mkubwa wa mmomonyoko huu ni media. Wazazi tunakabiliana na tunapambana na maadui wengi sana ktk juhudi zetu kuwalea watoto. Kama wewe wanao Wana maadili mema basi mshukuru sana Allah na zidisha ibada. Pia watoto wetu wanajikuta njia panda. Wakati wewe mzazi unamuhimiza avae mavazi ya kujistiri... Mzee Yusuph anapigia debe "kanga Moja... Ndembwendembwe!". Na huyu
 


ndio maana ni masikini na utaendelea kuwa masini mpaka unaingia kaburin usipobadilika nakuacha chuki, roho mbaya na wivu kisa tu eti mtu flan anafanikiwa zaid yako.
 
huyu baba alikuwa wapi siku zote tunaulizana huyu mtoto hivi kweli anawazazi?
Alafu namwangalia anaoneka anabusara zake tu za kutosha, huyu mtoto alimshindia wapi?
Vituko vyote alivyokuwa anafanya mwanae kwenye media alikuwa wapi ?
kweli tuache sheria ichukue mkondo wake!!!!!
 
Na huyu Mzee Yusuph, ktk jamii yetu anajitambulisha kuwa ni kioo cha jamii kwa vile tu ni msani! Mwisho Wa siku watoto wanaishia kukuheshimu wewe kama mzazi lakini kumtukuza msanii kwa kuwa eti, ni kioo cha jamii.
 
Ukweli ni kuwa wazazi walikosea moja kwa moja kwani japo watoto wanatabia ya kufanya mambo machafu kwa siri na inakua ngumu kwa mzazi kuyajua lakini kwa Lulu alikua anayafanya waziwazi na wazazi wake waliyaona na kuyafumbia macho, hapa ndo utajua PESA MWANAHARAMU, wazazi walikua wanafurahia pesa za mtoto wanasahau usalama wa maisha yake. WAZAZI WA LULU WANAPASWA KULAUMIA
 


kijan kama ungekuwa na busara nazan ungechukua mazur ya kanumba naamin yangekusaidia kwan lila mtu anamabaya yake acha chuki na roho mbaya. Kanumba ametuwakilisha vizur watz heb jarib kwenda. Rwanda, burudi, congo, kenya, uganda, nigeria etc. Na umati ulio fika kwenye mazishi yake unaonyesha kabisa ni kwakiasi gan alikuwa mhim kwa watz.
 

Changamoto zipo nyingi jamani kwa ulimwengu huu wa sasa,wa sayansi na teknolojia,maTV,maIntaneti,n.k.

Halafu kwa Lulu,alianza uigizaji mapema kabla ya umri wa kupevuka... na kujitambua .. Na uigizaji baadaye ulipokuja kuhamia kwenye sinema ndiyo kabisa utata ulipozidi..
 
Kwangu mimi Kanumba anastahili adhabu tena adhabu ya kumrubuni mtoto mdogo kama yule,watU wengi wanamuona kanumba ni inocent tena wengine ni wanawake wazima na akili zao wameshindwa kumuhurumia binti huyui ambae kutokana na umaarufu wa kanumba umesababisha huyu mtoto awe maabusu sasa, kutokana na pesa zake kanumba zimefanya huyui mtoto afanye mapenzi akiwa mdogo tujiulize kwa umaarufu wa kanumba mwanamkle gani mtu mzima nagemkataa kanumba itakua haka katoto,Kwa pesa zake kanumba aliweza kukadanganya na hatimae kukaharibia maisha haka kabinti wasanii ni vioo vya jamii lakini huyu hakuwa kioo cha jamii alitumia pesa zake kunyanyasa jinsia ya kike nina uhakika wapo wanawake wengi walipata manyanyaso toka kwa kanumba ingawa hawakuisema hata Lulu asingejulikana kama tukio hili lisingetopkea. Tuwe wakweli Kanumba kafa kifo cha aibu alikua anabaka!!!
 

Hivi siku unayokuja kujua kuwa binti yako ni mjamzito ni wewe wa kulaumiwa,mtoto mwenyewe,ama nani tena...
 

Kama kuna mtu hajakuelewa... Anatakiwa akapimwe akili kwa Dr Kilonzo au Mirembe kabisa!
 
Zomba umeandika vitu vya maana sana kwa Lulu. Huo si ushauri tu bali ni tiba ya tabia kwa LuLu na wengine hiyo ndo maana ya hilo vazi wanaoenda kinyume wanamatatizo lakini Ujumbe huu ni haswa. Nashauri mtumi sms. Imetulia hiyo Comrade
 
Katika ngazi ya kimataifa sanaa itatangazwa na ma-star 5000! Tunaojivunia kwa sasa nchini. Nao ni Wahitimu Wa darasa la 7 waliofauli kuingia sekondani bila ya kuwa na uwezo Wa kusoma wala kuandika. Wazee, tatizo ni mfumo Wa elimu yetu. Lulu ni "victim" wa "system" yt ya elimu so, stop your character assassination tactics as far as Lulu is concerned. This only portrays how unintelligent you guys are
 
Watu wanaposema "haki itendeke" wanaelewa wanachomaanisha? Je, mahakama ikiridhika kuwa Lulu aliua kwa kukusudia na imhukumu kifo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…