Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)


it is very sad mtu anasubiriwa afe ndio watu waongee maujinga, hv hy wema kweli atakuwa network haikamati, why aseme maneno hayo halafu anapenda sana mambo ya magazeti, jamani kisa mtu amekufa hawezi kujitetea mtu anaongea utumbo. Wema ajifunze kilichompata mwenzake lulu, mi huwa wema simpendi jamani
 
kumbuka, lulu alishikiliwa jumamosi, asingeweza kupelekwa mahakamani kwasababu ilikua ni public holiday, jpili na jtatu, leo ndio anaweza kupelekwa huko mahakamani
Wanatakiwa kumpeleka mahakamani leo na kutangaza kuwa dhamana iko wazi kama ilivyokuwa ya Ditto...

Pia kumbuka kuna kesi ya uchaguzi pale Kigoma mjini iliamuliwa siku ya Ijumaa kuu
 

Nikukosoe hapo kwny serikali kujali filamu na sanaa kwa ujumla haijali hata kidogo,na ni kama unafiki na kuuza sura tu wanaofanya,kama watendaji wa serikali wangekua wanajali wangejitolea kuendeleza tasnia ya filamu tanzania,kwa kuhakikisha wasomi wa sanaa ya filamu wanajihusisha katika kutengeneza filamu,kwa kuwapa motisha,Tanzania filamu zinatengezwa na watu waliochoka kimaisha kwa hiyo tuntengenezewa madudu tu na kutuaibisha swahili chanel ya DSTV,namkubali Kanumba kwa sababu alifanya jitihada mwenyewe,alisimama peke yake na alijitahidi kujifunza na kubadilika,ingawa nae alifanya madudu kadhaa kwenye filamu zake,mfano subtitles.
 

Msemaji wake na manager(KADINDA) wake alikua wapi? Kwanin ajamsemea katika hilo?
 
katika hali isiyo ya kawaida kwa wale ambao wamesikia wimbo wa kanumba.katika wimbo ule kasema akifa watu mtasema nani pengo ataliziba.maadui wake watabeba jeneza lake. yeye ni mmoja hawezi pigana na watu 1000. je hii alijua atakufa?
So u don't know if u will die???
Are u a stone or what???
Stupid!!
 
wabongo bana. kazi kudis tu, we huoni makosa yako? em mwacheni mtu wa watu apumzike kwa amani mbona mna wivu nyie?
 
Wema ni teja la mapenzi hana jipya kwakuwa hadi leo diamond bado anammega,yule jamaa yake mwingine Jumbe naye bado anammega inshort anawashwawashwa sana chini
 
wabongo bana. kazi kudis tu, we huoni makosa yako? em mwacheni mtu wa watu apumzike kwa amani mbona mna wivu nyie?

Kuna mshambenga mwenzio kaambiwa atoe ushahidi...je ni wapi imeandikwa mtu akifa anakuwa kapumzika?

Sijamuona tena kurudi
 
We should never ever take Wema Sepetu Serious.
No wonder, kila kona anasemwa vibaya...

Hajui kwamba anajiharibia kuwa kusema maneno kaam hayo.
Sasa kesho atakuwaje mke wa mtu?

Probably she has insatiable desire for opposite sex!
 
nimeona Shibuda akisema eti yeye amemuwakilisha mzee Kanumba! Labda mzee hana nauli lakini si angekopa? maana haiingii akilini
 
nimeona Shibuda akisema eti yeye amemuwakilisha mzee Kanumba! Labda mzee hana nauli lakini si angekopa? maana haiingii akilini

Aje kama nani na walishapashana na "mwanae'?????
Kila mtu alifunguka kivyake!
 
Akili yake haijapevuka UNAMFAHAMU?
Watu msipende sana kujiongelesha. . .hapo mwenyewe ukute anawacheka mnavyomrudisha nyuma kiumri, kifikra na kiakili. Stop undermining the girl.
 
Gud wema....piga mambo,chuna,sepa kiroho safiiiii....kwanza apewe ile gar ya kanumba kama urithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…