siku zote nilikuwa namtetea wema kuwa anaonewa na mambo mengine kama alivyo dhalilishwa na diamond lakini nimegundua yule msichana hayuko sawa.
Leo nimesoma kwenye gazeti flani katika mahojiano na gazeti flani wema akidai kwamba hakuwai kuachana na kanumba na kwamba walikuwa na mapenzi ya kisirisiri kwa kuwa kila mmoja alikuwa na mtu wake tayari.
Sasa nimebaki najiuliza kulikuwa na umuhimu gani wa huyu binti kusema haya kama si kuonesha jinsi gani alivyo malaya.
Na hata kama ni kweli kwanini aje kuyasema leo ambapo kanumba anaitwa marehemu kwanini asingeyasema akiwa hai.
Huyu dada ni mpuuzi na mpenda sifa za kijinga.
it is very sad mtu anasubiriwa afe ndio watu waongee maujinga, hv hy wema kweli atakuwa network haikamati, why aseme maneno hayo halafu anapenda sana mambo ya magazeti, jamani kisa mtu amekufa hawezi kujitetea mtu anaongea utumbo. Wema ajifunze kilichompata mwenzake lulu, mi huwa wema simpendi jamani