CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Tena nilikua namsubili kwa hamu alete andiko hilo kwamba mtu akifa atakua kapumzika lakini sijamuona tena!Kuna mshambenga mwenzio kaambiwa atoe ushahidi...je ni wapi imeandikwa mtu akifa anakuwa kapumzika?
Sijamuona tena kurudi
Mungu wangu,hata siamini kama Kanumba kafariki..R.I.P Kanumba!!
Wanatakiwa kumpeleka mahakamani leo na kutangaza kuwa dhamana iko wazi kama ilivyokuwa ya Ditto...
Pia kumbuka kuna kesi ya uchaguzi pale Kigoma mjini iliamuliwa siku ya Ijumaa kuu
katika hali isiyo ya kawaida kwa wale ambao wamesikia wimbo wa kanumba.katika wimbo ule kasema akifa watu mtasema nani pengo ataliziba.maadui wake watabeba jeneza lake. yeye ni mmoja hawezi pigana na watu 1000. je hii alijua atakufa?
halima mdee kasema kaona birth cert yake....she's only 17.......Akili yake haijapevuka UNAMFAHAMU?
Watu msipende sana kujiongelesha. . .hapo mwenyewe ukute anawacheka mnavyomrudisha nyuma kiumri, kifikra na kiakili. Stop undermining the girl.
Andiko gani mkuu???wabongo bana. kazi kudis tu, we huoni makosa yako? em mwacheni mtu wa watu apumzike kwa amani mbona mna wivu nyie?
Umeona eh huyu mkurugenzi mpya anaogopa yaliyompata Tido muhando hahahahahaaaa
Okada wanaume wagumu wako sehemu za kazi hawajakaa! angalia picha za juu! we are your queens remember? wanaume wamesimama. . halafu wanawake ni wengi! hata msiba wako wanawake ndo watakua wengi! ila hawatakuwa wengi kama wa kanumba pole! wanawake ndo tunaoguswa sana! biblia imeandikwa tuwalilie nyie! kubalini kanumba alikubalika na amekubalika akiwa marehemu mi si mpenzi wa movie! kanumba ameniuma na nimeaapreciate mazishi yake roho yangu imefarijika!
watu wanadondoka kwenye minara ya simu hawapati hyo impate alie chini...mimi naamini lulu hana hatia kwa maamuzi yao,ila dogo wamtoe awape na wengine brain nini sijui.
Aje kama nani na walishapashana na "mwanae'?????
Kila mtu alifunguka kivyake!
Nimezisikia mtaani.
Eti wanasema .....
Kamjengea nyumba kimara.
Mwenye taarifa za ziada.