Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

I need my home boy back,kwa kuwa haiwezekani basi lulu aface sheria,naamini Ray yupo nyuma ya kifo cha kanumba.
 
шNaskia anadai kuwa bado ana bik%.-.$ na kwamba hajawahi kukutana na kidume chochote

hahaha yaani humu sasa kila mtu nasikia nasikia hakuna aliyeconfirm ni nini???

imebakia kusutwa
 
Credibility yake haipo,alishawahi kutanganza ana 18yrs,leo anakana.Hivyo basi anaweza kudanganya kuwa hakuua.Sheria itake mkondo wake.
 
Kazi Hiyo. Mapenzi! Mapenzi! Mapenzi! Umefanya nini mtoto ameacha kwenda shule anapenda umaarufu kwa kutembea na Ma------------shee. Wamechie aende shule. Sijui kama amesoma.
 
Credibility yake haipo,alishawahi kutanganza ana 18yrs,leo anakana.Hivyo basi anaweza kudanganya kuwa hakuua.Sheria itake mkondo wake.
hakika ni contradiction...cheti nifake au halali? Je umri ukiwa juu au chini inaondoa kosa?
 
Kazi Hiyo. Mapenzi! Mapenzi! Mapenzi! Umefanya nini mtoto ameacha kwenda shule anapenda umaarufu kwa kutembea na Ma------------shee. Wamechie aende shule. Sijui kama amesoma.
aliulilia ukubwa na kaupata kwa kishindo
 
Huyo binti alitaka sana kupata umaarufu kwa njia yoyote. Ameupata sasa. Muaji wa Kanumba hata kama hakumwua!
 
Anatafuta njia ya kutoka kwa kisingizio cha umri. Acha sheria ifuate mkondo wake.
 
hivi mambo ya dhamana hayakuzungumzwa?

Jalada la kesi yako likiwa la plastic (nasikia ndio majalada ya kesi za mauaji yalivyo) dhamana nduhu, hakuna, not allowable! Nasikitika binti Mdogo hivi kwenda kunyea debe.
 
Jalada la kesi yako likiwa la plastic (nasikia ndio majalada ya kesi za mauaji yalivyo) dhamana nduhu, hakuna, not allowable! Nasikitika binti Mdogo hivi kwenda kunyea debe.

Ndio madhara ya kutosikia la mkuu ndo matokeo yake amevunjika guu.
 
Jamani huyu mtoto hana baba wala mama? Alidondoshwa tu duniani na Mungu? Kama baba na mama wapo basi washitakiwe kwa child abuse. Sasa alikuwa anadanganya umri ili kuwahi mambo ya watu wazima!! Wasanii wanaweza kutengeneza filamu kamambe juu ya stori ya binti huyu.:disapointed:
 
lulu be serious, huwez ukatangaza umri wa miaka 18 kwenye vyombo vya habari halafu ukaukana umri huo kabla ya mwaka kupita. unless wewe siyo mkweli, na kama ndivyo tusiumize vichwa kwani jibu tunalo la nini kilichomuua kanumba. Lakini pia wewe ni kijana mchanga sana ambaye ndo kwanza umeuacha umri wa utoto punde tu, siyo jambo zuri kuwa dada mahakama au balozi wa selo. Sifa ya mwanamke ni utulivu na upole. Uliza vizuri wanawake wengi wamezeeka pasi kupaona polisi lakini wewe ni mara ya pili hii tena ukiwa na umri mdogo sana sasa ndugu ukifika miaka 50 utakuwa umehudhuria polisi au gereza mara ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…