Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

ngoja pumzike, akutane na psychologists maybe Mungu akisaidia atachange...there is always a second chance
 
Au kakasirika SK kamwibia Lulu wake? Inawezekana ndio alikua anaongea nae usiku ule
hivi ile simu ya lulu iko polisi au?

we nawe kama angekuwa anamtaka lulu kwa nini alikataa kuigiza naye akidai ni katoto?
 
Kina Dada na Kanumba nimekoma hata Mh Mlata jana Bungeni kachomekea
Lulu bado mdogo miaka 17
 
Kina Dada na Kanumba nimekoma hata Mh Mlata jana Bungeni kachomekea
Lulu bado mdogo miaka 17
 
Hivi kuna mtu humu anayejua huko Segerea kukoje? Mpangilio wake ukoje? Vyumba vyake? Vitanda? Mabafu? Vyoo?

Wafungwa wanaruhusiwa kufanya nini? Wanaruhusiwa kuwa na vitu gani? Je, kuna TV? Wanavaa nguo gani - sare au za kiraia?

Chakula je? Kikoje? Kama kuna waliowahi kuishi huko kwa muda nitashukuru mkitusimulia tajiriba zenu.
 
sintashangaa iwapo itabainika kwamba asilimia 95 ya wote waliotajwa kwenye hii thread wana au walihushahusika kimapenzi na huyu mtoto, japo aliyepiga hiyo simu (kama kweli ilipigwa) ni mmoja
 
Steven Kanumba kafakamia kilevi kikali cha "Jack Daniels", na bila shaka walevi wengi waliokubuhu wanaheshimu tofauti kati ya bia na vilevi vikali kama whisky ambavyo havikawii kumfanya mwanaume rijali wa umri wa Kanumba kuwa kama "mdoli" kwa urahisi sana hadi kupoteza sense of balance akitembea kwa hatua zake mwenyewe, achilia mbali kupoteza ufahamu na balance kwenye mazingira ya hamaki aka agression kwa mwanaume aliyelewa kilevi cha aina ya "Jack Daniels". Kwa hili naomba huyo "mkemia wa serikali" atoe toxicology report inayoweka wazi ni kwa kiwango gani haswa Kanumba alikuwa amelewa.

Ama baada ya kusema hayo, jee, kama ingekuwa Kanumba ndiyo kasababisha kifo cha "Lulu", hisia za Watanzania zingekuwa tofauti kwa kiwango gani, maana ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya Wanawake dunia nzima wanapoteza maisha mikononi mwa Wanaume, na ni nadra kwa ukweli huu kuwa kinyume.
 
Itabidi aanze kufanyiwa vipimo vya tiGO, walakini kuna ulinzi wa kisheria kama ni ana kiashiria cha ngono zembe (Ujauzito)
 
Mwl Nyerere aliwahi kusema Darisalama ni jiji la Umbeya sana.....
 
Mh, jamani mm nimeshtushwa sana na bado najiuliza hii miaka 17 ya Lulu (Kipolisi) na 18 (Kibirthday)!!!

yaani aiseeeee, we acha tu, duniani kuna mambo sana banA......ni kweli kwamba wengi tuna miaka ya maandishi, ya mdomoni, ya muonekano, ya kimwili, ya kidunia, ya kimasomo, ya kiuchezaji/ajira etc kwa hiyo Lulu anastua kijoti tu!!!
 
hv mna uhakika na mnayo andika au mna tunga theory na kuzi publish humu. grow up pls! how valid are ur texts?

Unataka uhakika gani wakati umeona hadi mapaparazi wameshindwa kupata picha hata moja ya Lulu akipelekwa mahakamani?

Siyo sahihi kabisa yeye ni mtuhumiwa kama watuhumiwa wengine na hana huo ujiko anaopakuliwa na system unnecessarily.
 
Kwani ujui simu ya mwisho alipigiwa na kigogo? Huyo ndo anamlinda full stop.

Na maongezi yake ya mwisho nayo ni sehemu ya ushahidi unaotakiwa mahakamani. Kama ni kweli ni kigogo basi vigogo wetu ni mafuska sana na sijui ni nani huyo?
 
Hapo ndipo linapokuja suala la uaminifu wa taasisi zetu zinazotoa vyeti vya kuzaliwa.

Ni simple tu tukitaka kujua ukweli, alikosoma alirejista vipi? Halafu kale katoto kaongo nasikia hata four 4 hakajamaliza ila kalidanganya eti kamemaliza!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…