Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheti cha kuzaliwa ndicho kithibitisho! Lulu is only 17 Case closed.
Angekuwa mikononi mwa mikono ya sheria na Lulu angezikwa ila siyo kwa umnarufu kama marehemu Kanumba.
labda kwa vile ni under 18.
mnaojua sheria mtusaidie.
Sina uhakika kama kweli wamempeleka jela,usikute yupo hotelini anakula bata chini ya ulinzi chezeeaa pedesheee za town??
hana gari huyo binti ila alikuwa anatumia gari aliyohongwa na kigogo mmoja wa Chama Cha Matusi ambaye ni mbunge toka mkoa wa jimbo mojawapo mkoani Tanga.
Taarifa za nje zanaeleza mtu huyo ni pedesheee fulani....
Binti alimjibu kuwa alikuwa anaongea na daktari aliyempima HIV mchana alikuwa anampa ushauri nasaha, na akasema ati ni +VE. Hii ilikuwa baada ya kudunda pekupeku, kijana akashtuka na kutikisa ubongo.
kiukweli yule mtoto ataachiwa. kitendo cha lulu kujaribu kukimbia na Kanumba kumfuata na kumkamata na kumrudisha ndani kwa nguvu na kujifungia nae chumbani, kinampa lulu unafuu mkubwa wa kesi na ukizingatia ni under 18yrs old. wakifuata sheria ambazo zipo sasa hivi kwa kuzingatia sheria ya self defense hata kama lulu alimsukuma bado lulu hana hatia. na wakimfunga watakuwa wamekiuka sheria na watakuwa wamemuonea.Nimefuatilia saga ya kale katoto Lulu kuhusiana na kifo cha Kanumba. Interesting, through their twitter accounts hawa waheshimiwa wamejitoa muhanga kumsaidia eti apate fair trial. How: wameenda kumuona na wanatafutia lawyer na psychologist, wamepata cheti chake cha kuzaliwa na kwamba she is only 17 So she is juvenile. wanachangisha michango kumsaidia mama yake na yeye etc.
Maswali yanayonigusa:
1.What precedent r we setting?
2. hivi ni wananchi wangapi tena ambao wananyanyaswa na wako mahabusu na ni wapiga kura wao hawa waheshimiwa wamewasaidia?
3. hivi watoto wetu mabinti wadogo tuwafundishe ubaya gani wa uasherati na uzinzi kama tunapopata mafundisha hatusemi ukweli tunakimbilia she deserves a second chance.
4.Hivi vyombo vya dola vifanye nini kwa kauli tata kama kifo kilifika-JK, ni mtoto mdogo-Zito na Halima?
5. mbona tunapreempty uchunguzi ili tuje tulaumu?
6. Hata kama nyinyi waheshimiwa mlikuwa mna hang nae, hizi hisia zenu kwa sisi wapenda maadili mnatukwaza.
My take: kumtafutia lawyer etc sawa, kuingilia uchunguzi si sawa. fair trial ni kwa both parties. mengine Tamwa na Tawla wapo, msituchanganye.
Kibonde
Kutokana na msiba wa Kanumba,inasemekana kuwa kwa sasa baadh ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam yapo busy kutokana na Shopping zinazofanywa na wadau ambao wanajipanga na mazish!.
Moja ya bidhaa ambazo zipo kwenye soko kwa sasa, kutokana na demand kuwa kubwa ni miwan myeusi hasa ile mikubwa.
SOSI:GAZET LA BINGWA
10/04/2012