Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Cheti cha kuzaliwa ndicho kithibitisho! Lulu is only 17 Case closed.
 
Kanumba was 28! That's was simply a child molester n murder case!!!
 
Angekuwa mikononi mwa mikono ya sheria na Lulu angezikwa ila siyo kwa umnarufu kama marehemu Kanumba.

Ok. Na scenario kama ile ya "umati" wa vijana 100 waliozingira Kituo cha Polisi Oysterbay baada ya mazishi ya Kanumba kwa nia ya kufanya fujo chanzo chake ni nini kama siyo mfumo "dume" uliopo Tanzania unaothamini maisha ya mtu wa kiume zaidi ukilinganisha na ya mtu wa kike?
 
Taasisi zetu feki sana tu. Hebu fikiria kwenye taarifa yake polisi, kwa mujibu wa vyombo vya habari, usiku ule wa kifo cha Kanumba aliondoka na gari lake mpaka Coco beach! Yeye anadai ni 17 yrs old lakini ana valid leseni ya kuendeshea ambayo moja ya sifa za kuipata ni lazima uwe na miaka si chini ya 21! sasa sijui kumbukumbu za trafik zinaonyesha ana umri gani. Au huwa anaendesha gari lake bila kuwa na leseni ya kuendeshea!
 
Sina uhakika kama kweli wamempeleka jela,usikute yupo hotelini anakula bata chini ya ulinzi chezeeaa pedesheee za town??

Muwe werevu kidogo basi..yaaani mnajawa na ujinga kiasi cha kuwa na mawazo ya hovyo hivi?? Kweli watanzania bure kabisa..
 
hana gari huyo binti ila alikuwa anatumia gari aliyohongwa na kigogo mmoja wa Chama Cha Matusi ambaye ni mbunge toka mkoa wa jimbo mojawapo mkoani Tanga.

Kanawekwa mjini na Komba,mzee Mengi na demu mwenzie wa kusagana na ndio huyo demu alimfanyia ile bday party
 
Binti alimjibu kuwa alikuwa anaongea na daktari aliyempima HIV mchana alikuwa anampa ushauri nasaha, na akasema ati ni +VE. Hii ilikuwa baada ya kudunda pekupeku, kijana akashtuka na kutikisa ubongo.

Naskia pia zimekutwa ARVs chumbani kwa kanumba baada ya kuutoa mwili wa marehemu
 
Nimefuatilia saga ya kale katoto Lulu kuhusiana na kifo cha Kanumba. Interesting, through their twitter accounts hawa waheshimiwa wamejitoa muhanga kumsaidia eti apate fair trial. How: wameenda kumuona na wanatafutia lawyer na psychologist, wamepata cheti chake cha kuzaliwa na kwamba she is only 17 So she is juvenile. wanachangisha michango kumsaidia mama yake na yeye etc.
Maswali yanayonigusa:
1.What precedent r we setting?
2. hivi ni wananchi wangapi tena ambao wananyanyaswa na wako mahabusu na ni wapiga kura wao hawa waheshimiwa wamewasaidia?
3. hivi watoto wetu mabinti wadogo tuwafundishe ubaya gani wa uasherati na uzinzi kama tunapopata mafundisha hatusemi ukweli tunakimbilia she deserves a second chance.
4.Hivi vyombo vya dola vifanye nini kwa kauli tata kama kifo kilifika-JK, ni mtoto mdogo-Zito na Halima?
5. mbona tunapreempty uchunguzi ili tuje tulaumu?
6. Hata kama nyinyi waheshimiwa mlikuwa mna hang nae, hizi hisia zenu kwa sisi wapenda maadili mnatukwaza.

My take: kumtafutia lawyer etc sawa, kuingilia uchunguzi si sawa. fair trial ni kwa both parties. mengine Tamwa na Tawla wapo, msituchanganye.
kiukweli yule mtoto ataachiwa. kitendo cha lulu kujaribu kukimbia na Kanumba kumfuata na kumkamata na kumrudisha ndani kwa nguvu na kujifungia nae chumbani, kinampa lulu unafuu mkubwa wa kesi na ukizingatia ni under 18yrs old. wakifuata sheria ambazo zipo sasa hivi kwa kuzingatia sheria ya self defense hata kama lulu alimsukuma bado lulu hana hatia. na wakimfunga watakuwa wamekiuka sheria na watakuwa wamemuonea.
 
Mtuhumiwa wa kifo cha Kanumba, Lulu, ametinga mahakamani huku amejistiri kwa kuvaa vazi la stara maarufu sana kwa Waislaam. Hijab.

Tunakuombea hijab hiyo iwe ni mwanzo mzuri kwako na iwe si hijab ya nje tu. Hijab huanzia moyoni, na hiyo ndio hijab ya kweli, ukiweza kujistiri na vishawishi vya dunia kutoka moyoni, hii ya kustiri mwili huwa ni sahali na nyepesi zaidi.

Haujachelewa bado, tunakuombea uwe na stara milele. Makosa hurekebishika, kufanya kosa sio kosa kurudia kosa ndio kosa kubwa zaidi. Yaliyotokea yametokea, iwe fundisho kwako na kwa wengine wanaohadaiwa na maisha ya anasa "ustaa" na kuuza miili yao kwa thamani ndogo sana, amma kwa kujiweka nusu uchi au uchi kabisa kwa kustarehesha kondoo waliopotea.

Si wewe, si Kanumba, wote mmefanya kosa, Kanumba alikosa hijab ya moyo nawe pia uliikosa, umepata wasaa wa kutubu na kurudi kwa mola wako na hiyo isiishie kwenye mavazi tu.

Leo unajistiri kwa hijab kuzikimbia kamera hizo hizo ambazo wiki iliyopita ulikuwa unajikenua ili wakupige picha vizuri kutangaza biashara yako ya kuuza mwili? Kulikoni?

Rudi na iwe hijab ya ukweli na ya moyoni, ujumbe huu ni kwako na kwa wengine wasiojuwa kujistiri mpaka yawakute mabalaa. Prevention is better than cure.
 
kuna baadhi ya kesi hususani kama hii ya Lulu jeshi la polisi na mamlaka zingine vinachukua jukumu la ziada la kulinda usalama wa mtuhumiwa. Kumbukeni lolote litakalomtokea Lulu sasa ninyi wenyewe mtakuwa wa kwanza kutoa lawama. Huo ulinzi lazima apewe ni mtuhumiwa wa mauaji ya mtu maarufu. Hata kutoka Segerea kuja mahakamani lazima ataletwa kwa utaratibu maalumu. Ndivyo ilivyo jamani.
Mkisikia ving'ora barabarani kama wakati wa Zombe msishangae na kudhani ni kaupendeleo. Ni kwa kuwa kesi yake inavuta hisia za wengi pengine kuliko kesi yoyote inayoendelea kwa sasa.
 
Kutokana na msiba wa Kanumba,inasemekana kuwa kwa sasa baadh ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam yapo busy kutokana na Shopping zinazofanywa na wadau ambao wanajipanga na mazish!.
Moja ya bidhaa ambazo zipo kwenye soko kwa sasa, kutokana na demand kuwa kubwa ni miwan myeusi hasa ile mikubwa.


SOSI:GAZET LA BINGWA
10/04/2012

umesahau mascara na fake eyelashes
 
MAANDALIZI ya kuchimba hadi kukamilika ujenzi wa kaburi alilozikwa aliyekuwa nguli wa tasnia ya filamu nchini, marehemu Steven Kanumba yamegharimu Sh1.55mil.

Kanumba alizikwa juzi kwenye makaburi ya Kinondoni baada ya kufariki mwishoni mwa wiki nyumbani kwake Sinza Vatican Dar es Salaam kwa kile madaktari walichodai ni kutokana na matatizo ya brain concassion.

Habari za uhakika kutoka katika chanzo chetu cha habari zilizoifikia gazeti hili zilieleza kuwa kaburi hilo lililojengwa na Ofisi ya Utamaduni Wilaya Kinondoni kwa siku mbili kabla ya siku ya mazishi na kugharimu kiasi hicho cha fedha hadi kukamilika kwake.

Mwananchi iliyokuwepo makaburini hapo mapema juzi asubuhi kabla ya shughuli za mazishi, ilishuhudia wahusika 'wakipiga kazi' kuliwekea marumaru kwa ndani na sehemu kubwa lilikuwa limekamilika.

Hata hivyo, wahusika waliokuwepo hapo, hawakuwa tayari kusema lolote zaidi ya kudai kuwa wao kazi yao kujenga na masuala mengine hawayafahamu.

Kilieleza kuwa tulianza kuchimba majuzi mchana na kujengea matofali na kufatiwa na zoezi la kujengea matofali kwa muda wa siku mbili na baada ya hapo tulimalizia kwa kuweka marumaru na ikawa tayari ujenzi umekamilika.

"Hii ndio gharama halisi ya matengenezo ya kaburi la Kanumba risiti hii hapa watu wanaweza kuongea mengi lakini ukweli ni huu," kilisema chanzo hicho cha habari huku kikionyesha risiti hiyo ya malipo ya shughuli nzima.

Source: Mwananchi magazine
 
Back
Top Bottom