Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

hayo maneno yanamuumbua mwenyewe

Reast In Peace Mbakaji

umenisikitisha sana brother! how sure u r that he was doing that, til to date no body who is clear about his death except Lulu, dont point a finger to someone, u should look at yourself first!lay all of these issues to jesus! he will help u!
 
Sheria ikifuata mkondo wake late Kanumba alimbaka mtoto asiyeweza kufanya maamuzi sahihi.


Umri wake labda wafoji au uniambie alimaliza form4 akiwa na miaka 15, vinginevyo......

kumbaka inaanzia wapi tena wakati chanzo ni simu,inahusianaje simu na kubaka?
 
Yani umenitisha mpaka nimeenda huko ziff! kwanza wasanii wote walopata hizo awards nawaona nahiyo mikanda ya yellow na medali! wote ni masonic au kanumba tu? halafu nembo hiyo si pentagon iko na pembe nne! wanasema washiriki wana pesa ivi kanumba alishazikamata kiasi hicho? tumwache apumzike kama ni sababu ziwe zina mashiko! huyo kijana bado namdoubt! sijui kama kweli kuna msanii ni masonic bongo? kwa sababu ya kutafuta hizo pesa au kwa sababu wana pesa?!
 
Waliosoma walipelekwa NGULDOTO kwa semina elekezi, na mabilioni ya pesa ya Watanzania yalipotea, na mwisho wa Yote wakina Malima wakaperfom pale Morogoro

sasa hao wasanii si ndio kupoteza Zaidi?

Umenena kituko, wasanii wetu wanaharibiwa na sifa, ulevi na uasherati. Hata wakipelekwa wapi haitasaidia. Shule ya kwanza ya mtu yeyote ni Jamii, lakini msanii gani aliisikia jamii ikimlalamikia na akabadilika? LULU NDIYO ALIKUWA KICHWA MAJI, leo yaliyompata jamii inashindwa kumuhurumia.
 
jayz_masonic_church_service.jpg

Jay z wa sita toka kushoto mstari wa pili.....

Halafu anaonekana si mzoefu; ana hofu fulani. Angalia anavyomwangalia cameraman.
 
Hauruhusiwi kuharibu makusudi.Ila baibo says that ukitubu dakika ya mwisho hata kama ulikuwa mdhambi unasamehewa.Mfano mwizi aliyeangikwa na Yesu msalabani..
Kwa hiyo muarobaini wa kwenda peponi ni kuomba tu msamaha, kisha huyooo ..dah. haya bana.
 
watu bwana hapa wamesahau na maovu yao yote nakuanza kuyaona yamarehemu.mambo haya yanafanyika sana hata huku unerground.eti na lulu mnamuita mtoro kabla hamjamlaumu kanumba nenden kwa mama yake mzazi ambae alikua anapiga kelele lulu akikayazwa kuingia disco.sasa mtu anavyosema eti wanatafunana wenyewe mlitaka wakachukue waimba taarabu wakat mazingira hayaendan.watu waliokaribu nirahisitena kwenye tasnia moja nirahisi kuanzisha mahusiano mfano beyonce na jzee,rehana na criss.au hata amber rose na kanyewest.so msiongee tu kwasababu mnataka kutia watu uchungu,haua mambo ni yakawaida sana pia lulu anapenda ukumbwa ndo maana alitudanganya kwenye media ana18 kumbe ni 17.tutajuaje anawadanganyaga wengine ana 24

alichofanya uncl akuna tofauti na baba kumtafuna uncle,,atuongelei kutafunana tunadili na ukuzwaji wa watoto kwenye saanaa mwisho kufanywa mateka wa mapenzi kisa mliwaingiza kwenye filamu na swala langu mtawafanya wangapi kwa style hii kisa nilikuingiza kwenye fani ??
 
Kanumba is innocent kwa hili kabisa.Siamini kama ndiye aliye mbkr lulu,Lulu baada ya kupata umaarufu,alisha anza kudu kimpango wake,Kanumba kilichompata ni tamaa ambazo mwanaume yeyote inaweza kumpata.Tumeona wanaume wana do hadi na watoto wa miaka 14 sembuse 17?
Na kuna mabinti wana 20 na hawaja wahi ku du. Wakumlaumu ni Lulu na malezi mabovu aliyokuwa nayo.Mtoto mdogo umeshajua wanaume na anakiri kabisa alipigiwa simu na mpenzi wake mwingine.
Uzuri wake mbele ya macho ya wanaume,autumie vizuri.
ukisikia mdogo wako wa miaka 14 anafanywa na mtu fulani utakaa kimya kisa alibikiriwa na HOUSEBOY wenu??naomba nisaidie kabla ya kuendelea ...
 
mimi napenda niseme kitu kimoja, angalia misiba yote au ceremonial zote za picha za freemasons, utaona wamejifunga prons, angalia hiyo picha uliyo weka wote waliokaa kuna kitu kama kitambaa cheupe mapajani, hiyo inaiywa pron imetengenezwa kwa ngozi ya kondoo na ni kitu muhimu kwao.
Kwenye msiba wa kanumba hakukuwa na mtu hata mmoja aliyekuwa amevaa pron jambo ambalo ni wazi haukuwa na element za ki freemasons.
 
Zis iz e bigi jok, yaani kumbe huko kwene dini zenu mnaruhusiwa kuharibu ili mradi tu utubu kabla hujafa halafu unaenda ze so kold peponi.?!

Ndio,kwenye dini yetu haijarishi umepotea kiasi gani,U-Turn inaruhusiwa na inawezekana,wa KWANZA ATAKUWA WA MWISHO WA MWISHO ATAKUWA WA KWANZA as simple as that... Karibu kwenye UKWELI USIO NA MAWAA bro.
 
Angekuwa lulu amekufa,wangesema malaya yule kazid ,she deserve to die, alifata nini usiku wa manane kwa mwanaume naye ni mtoto,bt since kanumba ndiye aliyekufa anaonekana kafa kiume kwa kuonekana kidume cha mbegu.
 
Matatizo matupu katika hizi fani,yanayofanyika ni ushenzi mtupu hapa asilaumiwe Kanumba pekee ni wote walio katika hii fani,wapo wanojiheshimu lakini wengi wao ni shida tupu wanasikia sifa sana wakitambulishwa kwa UZINZI wa wao hebu muangalie kijana Diamond alivyokuwa anawavuruga Wema na Jokate hivi mmoja katika hawa akiwa na HIV si kuna uwezekano tena mkubwa tu wa kuambukizana wote? Hawa ndo wasanii wetu wanayofanya yako tofauti na kile wanachotaka siye tukione! Muangalie Ali Kiba nampa Big Up kwa sababu ameonyesha anaiheshimu kazi yake na kwa kiwango kikubwa hana Skendo mbaya!
 
Tusidanganye hapa, msije mkafikiri kutubu kwa kuzuga tu kunaweza kukufutia dhambi..eti kwa sababu nakufa ngoja nitubu..never,mungu anaona kila kitu nje na ndani yako,kama toba yako ni kwa sababu tu unataka kufa,moyo wako hautakuwa umetubu,kabla hata haujaanza kuomba toba mungu ameshakusoma na anajua kama unaomba toba kweli au la..Nimeona niongee hili maana kuna watu wanafikiri ni kirahisi tu kwa kusema maneno mengi huku dhamira ikiwasuta!!

Kuzuga au kumaanisha anajua Mungu tu. wewe na mimi hatuna uwezo wa kujua namna mtu anavyotubu kwa kumaanisha kwa kumwangalia au kumsikiliza anapotubu,hata akitubu huku anatoa machozi ya damu haimaanishi kuwa ni kweli mdomo,moyo na machozi vinashirikiana,inawezekana machozi ya sababu tofauti na maneno atamkayo mtu,pia maneno yakawa tofauti na yaliyomo moyoni mwake,kama binadam tunaojua ukweli huu,tunaamini nafasi ya kutubu ikipatikana tubu,usikate tamaa swala la toba ya kumaanisha au kuzuga anajua Mungu pekee.
 

I wish Watanzania wote wangekuwa kama wewe.
I often really like your comments, and I appreciate how positive and optimistic you are. So, that's my way of hoping we can stay JF friends 🙂

yani Lulu ataachiwa I believe!

Imani ni kuwa na hakika na mambo yatarijawo kuwa ni bayana ni kweli. Kwa imani yangu Lulu anashitka la kujibu mkuu. tusubiri pamoja na mbwembwe zote za polisi kumlinda maka mtuhumiwa wa ugaidi.
 
angezikwa kimya kimya bila kuwekwa front page katika kazeti lolote. R.I.P STEVEN CHARLES KANUMBA
 
Kanumba hana kosa kabisa,lulu alianza ukicheche muda sn km wazazi wake hawakuweza kumlea katika maadili yanayotakiwa kwa mtoto wa kike ujue wazi jamii itamfunza,awe na miaka 17 au chini ya hapo bac watahukumiwa wengi waliompitia maana wote walikuwa wakimbaka huku yeye akifurahia! RIP the Great SCK.
 
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,sehemu ya Julius K. Nyerere(zamani Mlimani) kinaendelea na uenyeji wake wa Mhadhara wa wazi juu ya Mchango wa Sanaa katika Mustakabali wa Nchi.Mhadhara huo unaongozwa na Profesa Micere Gathoni Mugo kutoka nchini Kenya.Mhadhara umeandaliwa chini ya mwavuli wa Kigoda ca Mwalimu Nyerere cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Katika michango yao,wajumbe wamefikia hatua ya kumfananisha Kanumba na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika mchango wa kitaifa na kimataifa.Hatahivyo,wajumbe wengine kutoka ndani na nje ya Tanzania wameonekana kutoka nje ya Ukumbi wa Mikutano wa Nkruma wakiwa wamekasirika baada ya ufananisho huo.Mhadhara umeingia kasoro..
 
Back
Top Bottom