hayo maneno yanamuumbua mwenyewe
Reast In Peace Mbakaji
Sheria ikifuata mkondo wake late Kanumba alimbaka mtoto asiyeweza kufanya maamuzi sahihi.
Ipo, dini ya watu wasio na diniKuna dini ambayo hakuna kutubu wala kusamehe? What about Mungu ni mwenye huruma?
Waliosoma walipelekwa NGULDOTO kwa semina elekezi, na mabilioni ya pesa ya Watanzania yalipotea, na mwisho wa Yote wakina Malima wakaperfom pale Morogoro
sasa hao wasanii si ndio kupoteza Zaidi?
Jay z wa sita toka kushoto mstari wa pili.....
Kwa hiyo muarobaini wa kwenda peponi ni kuomba tu msamaha, kisha huyooo ..dah. haya bana.Hauruhusiwi kuharibu makusudi.Ila baibo says that ukitubu dakika ya mwisho hata kama ulikuwa mdhambi unasamehewa.Mfano mwizi aliyeangikwa na Yesu msalabani..
watu bwana hapa wamesahau na maovu yao yote nakuanza kuyaona yamarehemu.mambo haya yanafanyika sana hata huku unerground.eti na lulu mnamuita mtoro kabla hamjamlaumu kanumba nenden kwa mama yake mzazi ambae alikua anapiga kelele lulu akikayazwa kuingia disco.sasa mtu anavyosema eti wanatafunana wenyewe mlitaka wakachukue waimba taarabu wakat mazingira hayaendan.watu waliokaribu nirahisitena kwenye tasnia moja nirahisi kuanzisha mahusiano mfano beyonce na jzee,rehana na criss.au hata amber rose na kanyewest.so msiongee tu kwasababu mnataka kutia watu uchungu,haua mambo ni yakawaida sana pia lulu anapenda ukumbwa ndo maana alitudanganya kwenye media ana18 kumbe ni 17.tutajuaje anawadanganyaga wengine ana 24
ukisikia mdogo wako wa miaka 14 anafanywa na mtu fulani utakaa kimya kisa alibikiriwa na HOUSEBOY wenu??naomba nisaidie kabla ya kuendelea ...Kanumba is innocent kwa hili kabisa.Siamini kama ndiye aliye mbkr lulu,Lulu baada ya kupata umaarufu,alisha anza kudu kimpango wake,Kanumba kilichompata ni tamaa ambazo mwanaume yeyote inaweza kumpata.Tumeona wanaume wana do hadi na watoto wa miaka 14 sembuse 17?
Na kuna mabinti wana 20 na hawaja wahi ku du. Wakumlaumu ni Lulu na malezi mabovu aliyokuwa nayo.Mtoto mdogo umeshajua wanaume na anakiri kabisa alipigiwa simu na mpenzi wake mwingine.
Uzuri wake mbele ya macho ya wanaume,autumie vizuri.
Zis iz e bigi jok, yaani kumbe huko kwene dini zenu mnaruhusiwa kuharibu ili mradi tu utubu kabla hujafa halafu unaenda ze so kold peponi.?!
Tusidanganye hapa, msije mkafikiri kutubu kwa kuzuga tu kunaweza kukufutia dhambi..eti kwa sababu nakufa ngoja nitubu..never,mungu anaona kila kitu nje na ndani yako,kama toba yako ni kwa sababu tu unataka kufa,moyo wako hautakuwa umetubu,kabla hata haujaanza kuomba toba mungu ameshakusoma na anajua kama unaomba toba kweli au la..Nimeona niongee hili maana kuna watu wanafikiri ni kirahisi tu kwa kusema maneno mengi huku dhamira ikiwasuta!!
I wish Watanzania wote wangekuwa kama wewe.
I often really like your comments, and I appreciate how positive and optimistic you are. So, that's my way of hoping we can stay JF friends 🙂
yani Lulu ataachiwa I believe!
labda kwa vile ni under 18.
mnaojua sheria mtusaidie.