Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Jamani umati huu ambao umekusanyika Leaders,Makaburini nikweli ulikubalika kila rika ya mtanzania!Je baada ya huu msiba je ni mtu gani mwingine atawakusanya watu wengi kama Kanumba?kuanzia viongozi wa serikali,wasanii?nakupewa airtime na vitua vya Television,Radio?Sijamuona
 
hawa wasichana lol, hayo madudu
yao hawayaonei hata haya, lol.
 
Mbona mnatuchanganyia habari??Amefika au hajafika lipi tuelewe??maana mwingine anasema hajafika ila mzee shibuda ndio amemuwakilisha mwingine anasema amefika na jana alikuwa anahojiwa so neno gani tukubali hapa!
 
jamani wapo mliosema lulu aachiwe kwani kuna sehemu wameeleza sababu za mtu kupata mtikisiko wa ubongo?si lazima kuna kisababishi na ndio tunakitaka kama ni kusukumwa, sumu au kupigwa na kitu halafu from there tunaweza sema awe free maana kila ugonjwa una kisababishi.
 
Ni jambo jema kuungana na jamii inayokuzunguka hasa jamii hiyo inapopatwa na majonzi, Kanumba alikuwa matanzania na aliiwakilisha vema nchi kika anga za kimataifa maana alienda mtanzania hivyo kila mtu mtanzania hana budi kutoa rambirambi zake kwa ndugu jamaa na marafiki wa kanumba popote pale walipo.
 
Mdau usiwe mwepesi wa kuhukumu mtu!!!!!!!!!! Mimi binafsi sipendi tabia za huyu binti ila kwa hili naomba niwalaumu tena vikali hawa watu wa gpl (magazeti pendwa)))) nilibahatika kusikia mahojiano yoote ya wema redioni alichosema ni kwamba tangu waachane na kanumba walikua na uhusiano wa kawaida na mzuri tu ila alishangaa hii wiki moja kabla ya kifo marehemu alikua anampigia sana simu kitu ambacho anaita sio cha kawaida, baada ya kuachana kila mtu aliendelea na maisha yake!!!!!! Cjui waga wanatunga ili wauze au nini??????? Inakera sometime wanaexagerrate sana vitu.
 
Back
Top Bottom