Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

upuuzi daily news ya leo haina ujinga wa kifidhuli jama unaosemwa hapo juu, labda umechanganya na magazeti uliozoea ya udaku
 
Hivi huyu Wema ni kabila gani?maana ana pepo la ngono sijapata kuona.
 
Hivi wewe unaemponda Kanumba na Rais wetu una nini haswa!?nani kakupa mamlaka ya kuhukumu?Ungekuwa Mungu wewe si ungeuza pumzi ?bahati yako mbaya kama ya paka yakupendwa na wachawi, mwenzako bahati yake nzuri anapendwa na wengi,acha wivu... hizo ni rohoo za kimaskini.Ukifa wewe ata balozi wa nyumba kumi haji.
 
Magazeti sometimes yanaandika habari za uongo..du nashindwa kuamini kama kuongea haya!
 
Achana nao!Wivu tu unawasumbua!She cant do dat!Hata Diamond sio mkweli kwa kila kitu alichosema i guess!Ni kweli amebadilisha wanaume wengi kwa mda mfupi!But who is perfect kwa kila kitu?I mean dat should a weakness to her but inawezekana hajapata wa kumpenda!With dat said,plz muacheni mtoto wa watu!She is innocent!Watanzania tunapenda sana mdomo usiokuwa na maana kwa wenzetu bila kujali upande wetu tukoje na tunafanya nn!I hate sniches!

Kwa hiyo bado anaendelea kutafuta wanaume????
 
kwa usalama wake ,asipate hata iyo dhamana kwanza.atapita mitaa ipi,na atawaangalia watu vipi ?watu wana hasira nae
 
Hakuna ki2 kamaicho katka daily news!!!! Au kuna daily news nyingine hatuijui?????
 
Mzee yupo right, Haiwezekani baba kumpigia magoti mtoto. kiherehere chenu mwisho baada ya maziko, mtagundua baba maana yake nini!!!!!
You have the point.......lakini hapa ulipaswa useme baada ya kuzitafuna pesa za rambirambi ndiyo watajuwa Baba ni nani na Mungu asimami upande wa Dhuluma hata kidogo, ila hawa wasivyo na aibu usikute hata ile Land cruiser Amazon ya Kanumba ipo nyumbani kwa Mtitu hawa watu ni wabaya mno.

Mimi kama Baba nafahamu vyema nafasi ya baba kwa mtoto na nina sacrifice vingapi kwa ajili ya mtoto awe na future nzuri, then in future days aje kutekwa na marafiki!! something is very serious here.
 
Wema ni teja la mapenzi hana jipya kwakuwa hadi leo diamond bado anammega,yule jamaa yake mwingine Jumbe naye bado anammega inshort anawashwawashwa sana chini

Yule ni muarusha, na kama asili wale wanamwaga maji wakati wa shughuri. Sasa tatizo ni kuwa wote wanaomgonga wanamgonga KIDSM DSM, hawapigi maji. Na wa design ile usipomtoa maji haridhiki muwasho bado unaendelea. Hiyo ndo sababu kubwa ya kupenda ngono kwa wema.
 
Mbona hilo lipo waz mkuu,ww angalia kamati yote ya mazishi ndugu wapo mwachache wengi walikuwa wasanii wenzake na marehem.
kuna siku nimesoma uzi hapa kuwa ile kamati ilikuwa inamsubir mama wa marehem ili wamshawish mazish yawe j4 Dar!
so nafikiri nafas ya familia kutoa maamuzi ilikuwa ndogo sana ni kama jeshi vile.

Nna mashaka kama Kanumba alikua na mahusiano mazuri na nduguze; kwan Kanumba hakua na Baba wadogo, wajomba,akina shangazi, wadogo zake au kakaze?
 
Daily News hawawezi kuandika hizi habari alafu muanzisha thread kama huna cha kuandika then kaa kimya na usome,
 
Back
Top Bottom