King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kenyella relax my niqqa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa usalama wake ,asipate hata iyo dhamana kwanza.atapita mitaa ipi,na atawaangalia watu vipi ?watu wana hasira nae
Definetely,........ Mandela alitangaza makaburini kwamba mwanaye waliyemzika alikufa kwa ukimwi, siku hizi maadili yameshuka yaani imekuwa kawaida binti wa miaka 18 anaulizwa na mtangazaji kwenye official interview eti una boy friend!!?? sasa tutawafungisha ndoa kilazima huu uzinzi inabidi ukomeshwe.mkuu kama we ungekuwa pastor ungeweza kusema hadharani?
Jaman am sure she didn't say such a thing mana juzi kafunguka kuwa they were communicate but not that much ila a week before kanumba hajaukata he was calling her lots of time..... Wa tz punguzeni uzushi jamani
Huyu Ray ndo nasikia alifika eneo la tukio fasta fasta, usikute ndo yeye alikuwa akiwasiliana na hako kabinti na marehemu ndo akachukia?
Nikweli kabisa hii story mbona inajulikana! Tena huyo Mhe. ni HIV postive. Yaani ni nomaaaaa!
Amkuwa lini mtoto mdogo wa juzi tu huyu?
This message has been deleted By Lulu