King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Eti mwezi wa 5 ndo anafikisha miaka 17!
Ashadanganywa na wanasheria wa madesa aka zima moto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti mwezi wa 5 ndo anafikisha miaka 17!
Umeshasema BINTI huwezi kushindana nae abadan!hata huyu binti ana gari? Dah lazima nipambane mwaka huu na mm nivute kasuzuki.....habari za kiitelijensia zinasema huyo mtu ni vicent kigosi.
Tumechoka kila upitapo kanumba kanumba kanumba......jaman tuendelee na story zingine khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nawaomba clouds wamtafute lulu aingize vocal hiyo hapo juu
Wakuu salaam,
Nimeshindwa kutoa pole mapema kwa msiba wa Kanumba kwa sababu bado nilikuwa natafakari nini cha kusema. Kwa ukweli mimi ni mmojawapo wa wapenzi wa Kanumba katika filamu na kwa ukweli nilikuwa naangalia filamu zake na JB tu! wengine hawakuwahi kunishawishi labda pastor Muamba akikemea mapepo.
Kilichonisukuma kutoa pole leo ni tafakuri kwamba tutapoteza wasanii wangapi kwa uzembe?
Nilikuwa na classmate wangu NELLY. alianza mziki hip hop akaishia kufa kwa kuchomwa kisu. Leo nimempoteza Kanumba, Mr Nice kafulia hadi hatamaniki, Wema yeye ni vurugu usiku na mchana, Sinta alijiuza hadi akachokwa na sasa Lulu yuko lupango! Wasanii wetu wanaamini saa zingine kwenye umaarufu wa kuleteana mabifu! Nashindwa kuelewa kama bifu la Kanumba na Lulu lililopelekea msiba lilikuwa la kujenga umaarufu au ni lakweli!
Shida kubwa ni wasanii wetu kutokuandaliwa kuwa ma -SUPERSTARS. hatuwaandai kukabiliana na changamoto za jamii, hatuwaandai kwenye maisha bila kujulikana hadi kujulikana na wakati mwingine unakuwa maarufu sana lakini mfukoni huna kitu. Hatuwaandai kuwa mfano tunawaandaa kuwa kero. Leo Matunzo mabovu ya lulu yamemfikisha hapo alipo. Lakini kosa sio la lulu bali ni kosa la jamii! Lulu aanaamini kwamba kuwa mzuri ni kutembea uchi, Kanumba aliamini kuwa Star ni kutembea na wanawake wazuri wote! Jana WEMA leo Lulu kesho...?
Majanga kwa wasanii hayataisha tusipojipanga tutawapoteza wengi ama kwa kifo ama kwa magereza!
MYTAKE: Inatakiwa ijengwe shule (AMA BAGAMOYO INGEWEZA KUWA MAHALI SAHIHI) KWA AJILI YA WASANII WETU KUANDALIWA. HUKO WANGEJENGWA KISAIKOLOJIA NA PENGINE FAMILIA MASKINI WALIZOTOKA ZINGEWEZA KUFAIDI MATUNDA YA WATOTO WAO.
POLENI SANA KWA MSIBA WATANZANIA WOTE.
Ile ya marehemu ilikuwa ni raha? na kwa kuwa movie bado inaendelea basi wahamie upande wa lulu sasa, maana kipande cha marehemu mchezo wake uliisha mara baada ya mazishi yake, hila lulu movie yake bado inaendelea.
Eti mwizi wa 5 ndo anafikisha miaka 17!
sasa umeongea nini? kuhongwa si kupewa! ina maana ni lake,! usiwe na hasira mkuu kama hujapata wa kukuhonga, jaribu bado muda, unaweza hongwa hata guta!
mdogo wake alikuwa mwepesi sana kumsukumia lawama Lulu kwanini asione ya kuwa kaka yake ameanguka tu kutokana na afya yake kuwa ina mushkeli. mdogo mtu anatupotosha kwa kudai kanumba hakuwa mgonjwa..........sasa zile hiv cocktail alizokuwa akizitumia......for more than a year zilikuwa ni za nini?
Yule daktari wake aliyekuwa anamtafutia madawa bila ya kumweleza madhara ya pombe mbona hachukuliwi hatua. Polisi wamekubali maelezo ya kaka wa marehemu kwa dhana potofu kuwa hawezi kumdhuru kaka
yake............now we know better that Lulu is innocent should be free with monetary compensation kwa kumchafulia jina na usumbufu kibao.........