Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,390
- Thread starter
- #281
Amefariki kifo cha upweke sana kama vile hakuwa na mchango wowote . Mke wake huyu mmachame is a cold hearted bih, huyo mtoto wake wa kike wa mwisho amezaa na bwana wa shosti yake ambaye pia ni Jirani, pia alimfukuza dr nyumbani kwake tangia alivyoanza kuumwa.
Mazishi yenyewe yalikua bora liende....
Asante kwa mrejesho huu. yatakuwa katika updates nyingine