Ukiangalia kiundani hii stori unaweza kukuta mwanaume ndio mwenye tatizo kwamba alimpenda sana mke wake na tatizo lilianza alipopata sukari ina maana alikua hawezi kumtafuna vizuri mke wake kupelekea mgogoro katika ndoa mpaka kutengana sasa mjomba akawa frustrated kupelekea kushindwa kusimamia biashara yake