Amosam
Senior Member
- Jan 15, 2009
- 154
- 5
Kwa jinsi ambavyo aliyekuwa mbunge wa Tarime kupitia chama cha wakaskazini marehemu CHACHA WANGWE alivyokuwa katika malumbano na watendaji wa chama hicho ambao zaidi ya asilimia 98% wanatoka kanda ya kaskazini mwa Tanzania,sikutegemea hata kidogo kama angethubutu kuwa na uhusiano wa karibu na mmoja wao(MALLYA) na kumwamini kuwa dereva wake kwani nijuavyo mimi hata siku moja nyani hageuki kuwa mbuzi.
Malumbano ya marehemu na Wakaskazini yalikuwa makubwa hata kutishia kukisambaratisha chama ugomvi ambao haukwisha hadi pale umauti ulipomkuta Chacha Wangwe. Mahakama kuu kanda ya kati Dodoma imeaona kuwa bwana MALLYA amesababisha kifo cha Wangwe,swali wenzetu wa kaskazini ujasusi huu mmejifunzia wapi maana tunapata hofu hata ya kufanya biashara pamoja.
Nimeshaanza kuwa na wasiwasi hata kule Biharamuro kwani tayari dereva wa mgombea toka chama cha walaji amenusurika kifo baada ya kupigwa mapanga na bisibisi, wenzetu wa kaskazini mnatupeleka wapi?!