Duh!!Nimesikiliza watu wengi mtu akifa wanasema "Mungu amepanga". Uongo huu umepita kizazi hata kizazi ili tufarijike katiba misiba. Ukweli ni huu, Mungu hapangi kifo cha mtu chini ya miaka 70. Mtu anayekufa akiwa na miaka zaidi ya 70 ni mapenzi ya Mungu. Mungu hana kitabu ameandika aina ya kifo cha mtu chini ya miaka 70. Watu wanakufa kutokana na aina ya maisha wanayo ishi, mazingira wanayoishi na imani za kishetani.
ianyelwisye@gmail.com
Mungu hapangi kifo wala haui mtu lakn anaweza ruhusu upumzike kwasababu atakazoona yeye kwa wakati.
Sababu ni mbili tu zinazoweza pelekea aruhusu upumzike mapema.
1. Mti usiozaa matunda utakatwa na kutupwa mbali - rejea kisa cha mtini
2. Heri wafu wafao sasa katika bwana, Mungu anaweza ruhusu upumzike kwasababu umeitimiza kazi yake. Anasema wapate pumzika baada ya taabu zao. Kuna watu mungu anaruhusu walale kwasababu wanajitahd katika mapito yao.
Dhambi upelekea mtu kufa mapema, hasa mungu anapoona wakatiwingine unatumika kuharibu mission zake au kupoteza wengine.
Ukiishi mpka miaka 70 na kuzidi unaishi bonis time na muda wa rehema
Gosh umekuwa one of the great thinkers amongs unthinkable thinkers! Who to them Tanzanian ways always is taboo to crticisize or speak the truth! Even if one knows this aint sawa dis way but just cause of taboos one must behave societies brain wise! Mungu alitupenda akatuumba kwa mfano wako Biblical wise sasa iweje atuchukie ghafla atuuwe tena??, Unakunywa pombe una drive kasi unapata ajili unakufa wanasema ni MAPENZI YA MUNGU/MUNGU KAMPENDA ZAIDI! una ndoa una chepuka ama we malaya/kahaba unapata UKIMWI unakufa wanasema hayo niw MAPENZI YA MUNGU majambazi yamevamia unapgwa risasi unauwawa MAPENZI YA MUNGU,Vikongwe wanauwa kwa panga NI MAPENZI YA MUNGU,Albino anakatwa panga anakufa NI MAPENZI YA MUNGU! vita imetokea kwa Nchi watu wana uchu wa madaraka raia wanauwawa eg Sudan/burundi/central africa! Ni MAPENZI YA MUNGU! alishabab anajilipua na nyie mnakufa wanasema ni MIPANGO/MAPENZI YA MUNGU excuse me je ANAETOA UHAI WA WANADAMU NA KUUA NI SHETANI/IBILISI? AMA NI YEHOVA/MUNGU???? Wakeup and scrutinize! Just think as a great thinker je ni Sawa kusema Mtu anapokufa kuwa ni Mapenzi ya MUNGU? ama kapendwa zaidi na MUNGU?????
Unakufa siku zako zikifika,its a law of nature.
Kwenye huu uzi nadhani wanamjadili Mungu.Habari za kumjadili mungu sio nzuri kiukweli.
Kwenye huu uzi nadhani wanamjadili Mungu.